Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

Ufunuo wa Yohana 21:8
Bali waoga, na wasioamini, na wachukizao, na wauaji, na wazinzi, na wachawi, na hao waabuduo sanamu, na waongo wote, sehemu yao ni katika lile ziwa liwakalo moto na kiberiti. Hii ndiyo mauti ya pili.

Kama Ni wa wote kwa Nini awapige kiberiti watu wa namna hii??

Haiwezekani uuwe, uchukize, uchukize afu Mungu akuchekee, NEVER'

Na bado mnastaajabisha Sana, yaani unanyanyasa mtu , unaua, kisa TU madaraka ya Duniani hapa!!!?

Hii nchi tumeikuta na tutaiacha pia Hakuna haja ya kuumizana na kuuana kwa sababu ya madaraka!!
Sawa.....

Madaraka na tawala hulindwa kwa nguvu zote.....

Dunia haijaanza jana.....
 
Ngumu kumeza ni kwamba:-

Tunajua kila kitu kimepangwa, Jaji atakayekuja ataendelea na shauri hili atajitoa dk za mwisho kwa sababu yoyote ile, then atakuja Jaji wa mwisho kumalizia kesi na kusoma hukumu ya kifungo cha maisha kwa Mh. Mbowe... Litafunguliwa shauri Mahakama Kuu la kuifuta CDM, kisha itafutwa kabla ya uchaguzi Mkuu ujao. Sabaya atatoka baada ya miaka 3 ama 4 hivi. Kama kawaida watanzania tutasahau na CCM itatawala kwa raha huku ACT akiwa ndiyo chama kibaraka wako mkuu ku-justfy upinzani nchini.
Na haki ya kukata rufaa iko wapi?
 
Mimi staki chama
Na usithubutu kabisaaah, hata Baba D mwambie asithubutu maana utaishi maisha ya roho juu juu Kama sio kuokota maiti ya mumeo ikielea katika moja ya mito maarufu hapa nchini!
 
Alipewa rushwa ya cheo. Ametimiza matakwa ya mteule wake. Sasa atapewa jaji mwingine atakayepangwa na yule jaji miongoni mwa wasiojulikana, jaji simba.

Marehemu kwa kuwapachika wasiojulikana kuwa majaji, aliua kabisa mfumo wa mahaka huru.

Uharibifu wa marehemu kwenye maeneo mbalimbali ya taasisi za utawala na serikali, itachukua miaka mingi kuurekebisha. Na bahati mbaya Hangaya naye, anaenda kiunafiki kuihadaa jamii ya kimataifa huku moyoni akiwa hana dhamira ya dhati ya kuondoa uchafu walioutengeneza wakati wa awamu ua 5.
Ndiyo maana naye alikufa
 
Hawa wahuni ni kupambana nao kupitia waganga wa kienyeji
waganga wakienyeji hamna kitu hapo, ila watoe fundisho kwa wahuni wenzao waliosambaratishwa, wakasambaratika kama ndege, kwa kisingizio cha korona.
 
Back
Top Bottom