Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa yatupilia mbali mapingamizi 2 kesi ndogo ya Mbowe na Wenzake. Jaji Siyani ajitoa kuendelea na kesi

Mbowe sio gaidi. Mungu atasimama upande wenye haki. Jaji kagongwa cheo
 
Tuendako, tusije kuruhusu hali ya wananchi kutoiamini mahakama kiasi cha kuanza kujichukulia sheria mkononi, kwa kuamini 'mahakama zinapewa maelekezo'.
Ukichukua sheria mkononi na wewe unachukuliwa sheria mkononi. Tit for Tat.
 
Hawa majaji waepukwe kama ukoma katika mahakama za kimataifa- Chande rudini home! Do not our International courts into kangaroo courts!
 
😁😁😁
AIgmal.jpg
 
Mbowe kuwa gerezani wewe unanufaika nini.Au na wewe ni mwoga wa Katiba Mpya?
Katiba Mpya umekuwa ni wimbo. Je, hiyo Katiba Mpya itamzuia mtu kufanya uhalifu au mwalifu kutokushughulikiwa? Au, kwa agenda ya siri ya wanasiasa, itawaingiza madarakani watimize mambo yao binafsi?

Wewe tobiasi unaathirika vipi na Katiba iliyopo?
 
Back
Top Bottom