Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisu ni loser yuleIle kauli ya LISU kuwa hawatashughulikia kitu chochote vipi
Kwani wale waliokuwa wanademka na kushangilia utawala wa Samia walikuwa nani kama si mibavicha?Hao ni misukule mkuu,mboga mboga wote huwa ni mazoba Tanzania nzima
Ibada iliambatana na Maombi Maalum kwa watu wote wenye mahitaji mbalimbali
Ile kauli ya LISU kuwa hawatashughulikia kitu chochote vipi
Mbowe na mawakili wake wameamua kumkana Lissu na maelekezo yake kuwa Chadema haitafanya chochote hata kumwekea dhamana. na kwamba Mahakama na serikali imfanye itakavyo! Chezea serikali. Haitishwi
Simkumbuki jina Mkuu.
Binafsi naahidi kumuombea Mbowe kama nilivyofanyaga kwa Lissu bila kujali tofauti za kiitikadi zilizopo, Mungu ataenda fanya kitu na atatoka kwa wakati wa Bwana wa majeshi
Mungu mbariki gaidi wa kusingiziwa
Case closed!Hati ya awali iliyotumika kutaja kesi ya tuhumu za ugaidi na uhujumu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkuu Kisutu ya jijini Dar es Salaam ilikuwa ina mapungufu makubwa sana.
Bwana Tenda Miujiza. Mungu wa Isaka na Yakobo Ni wewe tu unaweza ktk uvuli huu
Atatoka kwenda wapi.ugaidi sio shitaka lelemama.Mbowe anatafuta njia za mkato tu kukwepa sheriaAtatoka mbona mapema tu
Kwi Kwi KwiAtatoka kwenda wapi.ugaidi sio shitaka lelemama.Mbowe anatafuta njia za mkato tu kukwepa sheria
Anatakiwa ajitetee na kupangua mashitaka sio kukimbilia kufungua kesi

unaweza ukasoma sheria usielewe na ukafaulu mitihani yako kwahapa bongo ukimwangalia pajilake lauso unaona kichwani kunakitu kweli ,sheria zenyewe wanasoma wakiwa kaziniSirro c mwanasheria, mapungufu tena?
unaweza ukasoma sheria usielewe na ukafaulu mitihani yako kwahapa bongo ukimwangalia pajilake lauso unaona kichwani kunakitu kweli ,sheria zenyewe wanasoma wakiwa kazini nafelije ninamshaharaSirro c mwanasheria, mapungufu tena?