Mahakama Kuu imemteua Jaji Joachim Tiganga kutoka Kanda ya Mwanza kuendelea kusikiliza Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake

Siyani ni muovu sana!
 
Zote hizi Ni wale wale Hamna kitu hapo, UPE tupu..... Magu appointees Ni rubbish!
 

Kama ni mabaki ya mwendazake sina imani naye,
 
Kikubwa akatende Haki kwa mujibu wa Sheria.
 
Kesi ya kimkakati hii... huyu naye alishaharibu mwishoni atajitoa ili aje sasa wa kumalizia ile 30 waliyoipanga
 
Wafuasi wa Mbowe sasa mwacheni Jaji apige kazi yake kwa mujibu wa sheria, tusimbughudhi.
 
Majaliwa,Samia,huna imani nao? miundombinu unayotumia huna imani nayo pia kwa vile vilifanywa na Mwendazake?

Miundo mbinu ipi mkuu? Mi naishi Gambia huku hakuna mladi wowote wa jiwe, au unazani wote tupo tandale?
 
Huyu Ni mtoto wa kada mtiifu wa CCM,mzaliwa wa mkoa waKagera wilaya ya muleba tarafa ya nshamba kata ya BIIRABO kijijji Cha Bugarama kitongiji Cha kyaibumba.tumtakie Kila heri katika jukumu zito alilopewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…