Mahakama Kuu imemteua Jaji Joachim Tiganga kutoka Kanda ya Mwanza kuendelea kusikiliza Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake

Mahakama Kuu imemteua Jaji Joachim Tiganga kutoka Kanda ya Mwanza kuendelea kusikiliza Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake

Awali alijitahidi kusimama kwenye haki! Baada ya Chifu wako kugundua hatari iliyopo mbele yake (ya kuumbuka kutokana na ile interview yake na Kikeke) akaona ampe rushwa ya madaraka!

Na matokeo yake ndiyo hayo ya kutupilia mbali hiyo kesi ndogo! Na aibu ya milele amebaki nayo yeye Siyani! Na dhambi ya kupindisha sheria kwa sababu ya cheo, itamtafuna maisha yake yote.
Siyani ni muovu sana!
 
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Mahakama Kuu kwa vyombo vya habari

Yeyote mwenye wasifu wa Jaji huyu mpya atuwekee hapa ili tupate kumfahamu , Bali taarifa za awali zinaonyesha kwamba ALIAPISHWA KUWA JAJI NA RAIS WA AWAMU YA 5 , HAYATI JOHN MAGUFULI
Zote hizi Ni wale wale Hamna kitu hapo, UPE tupu..... Magu appointees Ni rubbish!
 
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Mahakama Kuu kwa vyombo vya habari

Yeyote mwenye wasifu wa Jaji huyu mpya atuwekee hapa ili tupate kumfahamu , Bali taarifa za awali zinaonyesha kwamba ALIAPISHWA KUWA JAJI NA RAIS WA AWAMU YA 5 , HAYATI JOHN MAGUFULI

Kama ni mabaki ya mwendazake sina imani naye,
 
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Mahakama Kuu kwa vyombo vya habari

Yeyote mwenye wasifu wa Jaji huyu mpya atuwekee hapa ili tupate kumfahamu , Bali taarifa za awali zinaonyesha kwamba ALIAPISHWA KUWA JAJI NA RAIS WA AWAMU YA 5 , HAYATI JOHN MAGUFULI
Kikubwa akatende Haki kwa mujibu wa Sheria.
 
Kesi ya kimkakati hii... huyu naye alishaharibu mwishoni atajitoa ili aje sasa wa kumalizia ile 30 waliyoipanga
 
Wafuasi wa Mbowe sasa mwacheni Jaji apige kazi yake kwa mujibu wa sheria, tusimbughudhi.
 
Majaliwa,Samia,huna imani nao? miundombinu unayotumia huna imani nayo pia kwa vile vilifanywa na Mwendazake?

Miundo mbinu ipi mkuu? Mi naishi Gambia huku hakuna mladi wowote wa jiwe, au unazani wote tupo tandale?
 
Huyu Ni mtoto wa kada mtiifu wa CCM,mzaliwa wa mkoa waKagera wilaya ya muleba tarafa ya nshamba kata ya BIIRABO kijijji Cha Bugarama kitongiji Cha kyaibumba.tumtakie Kila heri katika jukumu zito alilopewa.
 
Back
Top Bottom