Hivi unajua lulu alisherehekea bday ya 18yrs 2011?watamsamehe tu, maana hata kama alitenda kosa, kipindi kile 2012 bado alikuwa minor(below 18 years)
alikuwa anajikuza tu ili wakubwa wampapatikie kiurahisi maana kudet na minor ni ishu hapa tzHivi unajua lulu alisherehekea bday ya 18yrs 2011?
Exactly huyu mama ndo alipaswa afungweKosa kubwa ni la mama lulu. Alimpa uhuru mkubwa sana mwanae na mzigo wa kuilea familia tangu mdogo. Lulu ndio mlipa ada na mambo yote ya familia yake tangu kitambo. Mama mtu hana sauti kwa bintie
Binti anapata msala ila anashindwa kukimbilia nyumbani au kumpigia simu mama yake kwa msaada zaidi aiseeee ulimwengu unafunza mengi
Hivi unajua lulu alisherehekea bday ya 18yrs 2011?
Hakuwa anajikuza huo neo umri wake sahihi amezaliwa 1993 kipindi anatangaza ITV alikua na six to 7yrsalikuwa anajikuza tu ili wakubwa wampapatikie kiurahisi maana kudet na minor ni ishu hapa tz
Exactly huyu mama ndo alipaswa afungwe
Yap kumbe u do remember!! Goood!!!hatujasahau jamaniNa pombe alizokua analewa mpaka kuzima. Kuna article global kuwa lulu alipigwa stop kuingia club bills ila bint akajigamba hakuna wa kumzuia maana kakua
Hakuwa anajikuza huo neo umri wake sahihi amezaliwa 1993 kipindi anatangaza ITV alikua na six to 7yrs
Mama Lulu ndo alikua anamuuza mwanawe ye mwenyewe alikua anasema nimezaa mtoto mzuri hapa akikua ntavuna pesaMama mtu alikua anachekelea tu pesa alizokua analetewa na bintie
Yap kumbe u do remember!! Goood!!!hatujasahau jamani
Mama Lulu ndo alikua anamuuza mwanawe ye mwenyewe wa hovyo tu alikua anasema nimezaa mtoto mzuri hapa akikua ntavuna pesa
Magazeti yapo na kipindi cha mkasi kipo na yeye mwenyewe alivyokamatwa aliandika 18 baadae tunaskia 17 jamani tunakumbuka vzrKama mahakama ikiutaka umri halisi wa lulu waende kaole waonane na uongozi utakua na kumbukumbu wanazoweka za wasanii wao au pale itv. Au shule ya msingi aliyosoma lulu
AhsanteeeNakumbuka kila hatua,pia lulu alishawahi kuwa na kesi mahakaman ya ugomvi,hakimu akamwaonya kuhusu mavazi yake aliyoyavaa siku hio kwenye usikilizaji wa kesi
Kwanza ule mkorogo umeuonaa?[emoji2] [emoji2] [emoji2]Mama wa hatari huyo
Umeandika vizuri nduguInaonesha una elimu ndogo juu ya maswala ya sheria mpenzi.
Kiufupi ni hivi katika aina ya makosa, kuna makosa ambayo yameainishwa kama ya jinai na makosa yasiyo ya jinai kama ya madai.
Sasa hapa kosa la Elizabeth Michael linaangukia katika jinai. Kwa maana kuua, kuiba, kutukana, kujeruhi, kutishia kuuwa au kujeruhi, kupiga, kubaka ama kulawiti mtoto mdogo, kutembea na mwanafunzi, kubaka mwanamke au mwanaume, kuendesha gari bila leseni, kukwepa kodi, kutapeli mali ya mtu, kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu, matumizi mabaya ya ofisi za uma, kuendesha gari haijakatiwa bima, kuuza bima feki, na mengineyo mengi ni aina ya makosa ya jinai kwa tafasiri ya kwamba sheria imeyaweka wazi kuwa ni kinyume cha utaratibu wa nchi.
Hivyo basi unapofanya kosa lolote la jinai, anayekukamata ni askari na ndiye anayepeleka mashitaka( kukusemea) kwenye vyombo vya sheria( mahakama) na huko utakwenda kusomewa tuhuma dhidi yako na pale utakapokutwa na hatia na ushahidi dhidi yako kubaini unahusika moja kwa moja na mashitaka husika then hainaga mjadala hiyo ni unakutwa na adhabu ile iliyoainishwa kwa mujibu wa sheria.
Mama kanumba hata akimsamehe hawezi kufanya chochote katika kuzuia huyu binti asipatwe na adhabu pale akikutwa na hatia kwa maana ametenda jinai na ni yeye dhidi ya serikali si dhidi ya mama kanumba. Binadamu tunaongozwa na hisia ila sheria ndizo zinazoongoza mahusiano yetu hapa duniani.
Kwa mfano mimi nikikukuta wewe na mumeo mnagombana na mumeo anakupiga na kukujeruhi ninaweza kwenda kumchukulia polisi.....wakamshika na kumuweka mahabusu, akafunguliwa kesi ya kushambulia na kudhalilisha mwanamke, akahukumiwa muda usiopungua miezi sita na faini si chini ya laki tano. Basi tu huwa tunakaushiana
Na kweliAmsamehe vipi wakati yeye Lulu ana shine kila siku nguo mpya za gharama na mama ake ,wakati yeye mama Kanumba ananyauka na balimi kwa mwanae anayemtegemea kama mama Diamond kutolewa roho?
Chamsingi familia ya Lulu wangetafuta amani na familia ya Kanumba wayamalize kiutamaduni ,kama ng'ombe zichinjwe wale wasameheane. na Lulu achukue jukumu la kumlea huyo mama .
Japo hilo ni kosa la jinai na jamhuri ndo wahusika
ndugu huyo mama kanumba hata angeamua kumsamehe lulu,lakini bado lulu hashtakiwi na mama kanumba anashtakiwa na jamhuri..Na kweli
yule mama bado ana kinyongo na aloshayasema live kuwa hafurahii kuona aliyemuua mwanae anakula anashiba anapendeza mtaani
Unaweza jiuliza.... Lulu akifungwa kanumba anarudi? au filamu za kampuni yao ndio zitauza?
Wakati mwingine Mungu anakupa jaribu.... naamin hili lilikua jaribu lake huyu mama na hajaweza kulishinda.... Inabidi asamehe ili Mungu aseme nae na kumuinua. Japo ni ngumu sana kibinaadamu