Mahakama kuu imesema msanii Elizabeth Michael (Lulu) ana kesi ya kujibu

Mahakama kuu imesema msanii Elizabeth Michael (Lulu) ana kesi ya kujibu

watamsamehe tu, maana hata kama alitenda kosa, kipindi kile 2012 bado alikuwa minor(below 18 years)
Kaka kuna kesi zinaangaliwa katika mahakama kuwa huyu mtuhumiwa ametenda kosa akiwa chini ya miaka 18 na epelekwe USTAWI WA JAMII AKAFANYIWE TATHMINI, lakini kwa mauaji kaka hapo huwa hapanaga mtoto chini ya miaka 18 kwa sababu kama anajua kuwa KUUA ni kosa kisheria na ulifanya hilo kosa hakuna Kukwepa hapo........kama unaweza tafuta Tanzania Children Act,halafu angalia kifungu cha mauaji ndio utajua sheria katika kosa hilo huwa kwa utoto si sababu ya kutokuhukumiwa ushahidi ukipatikana
 
du! kanaweza kakatumikia kifungo vijimiaka kadhaa!!!
 
Masikini Lulu. Wamsamehe tu.
Ningekuwa mimi ndo mama kanumba ningesamehe tu kwani hata akifungwa mwanae hawezi kurudi
Kesi ni ya jinai haipo kwenye mikono ya mama kanumba,ni kesi ya jamhuri jaribu kutofautisha hilo....
 
Mpo wawili tu chumbani.mmoja akafa.Unategemea nani kamuua mwenzake??
Jihu simple ni wewe uliyekuwa naye.
Ataachiwa kama alikuwa chizi
Alikuwa under 18
Ama alikuwa anajihami.Let say angekuwa kavamiwa Na Jambazi Sasa kule ile kujidefend
Kuhusu kuwa under 18,Kuna ushahidi wa video yake mwenyewe akisema yeye ni.mkubwa Sasa ndo Mana amepeqa driving license. kwenye Birt part yake.
Hapo tuombe Muujiza tu.
inategemea ripot ya daktari kuhusu sababu ya kifo..nakumbuka ilionekana marehem alishindwa kupumua,sidhani kuwa alikula kabali ya lulu Bali alianguka na kwa maelezo ya lulu jamaa alikua anafukuzia utam..yaani huku kadinda huku anamaind simu
 
Naona una machungu sana baada ya msukuma mwenzio kufa
Nina uchungu tena sana, Steve niliimba naye Sunday school pale Bugoyi enzi zile kanisa letu la AICT Ngokolo tunasalia Bugoyi primary school Ngokolo. Inauma sana tena sana Steve kuondoka simple like that. Justice for Steven Kanumba.
 
Masikini Lulu. Wamsamehe tu.
Ningekuwa mimi ndo mama kanumba ningesamehe tu kwani hata akifungwa mwanae hawezi kurudi
kwana anashtakiwa na mamakanumba au jamuhuri
mama kanumba hausiki na lolote katika hiyo kesi na wala hana mamlaka yoyote yale
 
Ila kwakutumia assumption tu, wanawake wa kaskazini mikono yao kuua ipo fasta sana. Ila Lulu mkimwangalia leo mtaona jinsi alivyodata. Yani kama hajaamini Dr atatoa ripoti ile.
Doctor katoa report gani.???
 
Masikini Lulu. Wamsamehe tu.
Ningekuwa mimi ndo mama kanumba ningesamehe tu kwani hata akifungwa mwanae hawezi kurudi
Hii ni kesi ya mauaji mama Kanumba hausiki na hawezi kuwa shahidi sababu hakuwepo siku ya tukio. Jamuhuri v/s Lulu muuaji.
 
Kanumba alikufa mwenyewe huyu mtoto ajaua jaman mbn ipo obvoius tu hana uwezo wa kuua alaf hakua na hiyo motive am sure hakimu ataliona hilo, sema huyu mtoto aache ushangingi sbb ni mdogo ana mambo makubwa na ndo mana yanampata makubwa sijui ni malezi sijui mama wa kulaumiwa.
Ukiwa unaendesha gari..bahati mbaya mtu akakatiza mbele ukamgonga akafariki..unakuwa umeua au hujaua.??
 
Lulu mshikilie M/ Mungu ndo atakuokoa...daah hadi huruma
 
Kafungwe tu,..mi natofautiana sana na wa tz weng wanafiki,hypocrites kabsaa,..hata kama ni miaka5,..kanumba was a great man.uskute kalimsukuma akajigonga ukutan,.kafungwe tu
Mkuu Lulu akifungwa we unapata faida gani?
 
Back
Top Bottom