Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asilimia tisini ya wateja wake ni akina mamaMama gani hao unaowasema. Mzazi wako alikuwemo nini?
Ignorantia Jurice non excusat, wacha sheria ichukue mkondo wake!
Wamkamate wasituambie wanamsaka! (najua kuna viji siasa vitaingia ktk issue hii subirini muone kama kuna cha maana.)
Well said NDUGU,barikiwaMwamakula, nafurahi unaanza kukunjua makucha yako polepole kutuonyesha wewe ni nani. Tumeambiwa sana @Zijaribuni kila roho" Roho wa Mungu hapingani na Mungu. Ukiona hayo yanatokea, basi aliye shambani abaki shambani na aliye darini asishuke, maana hata Ibilisi alikuwa mkuu wa malaika Mbinguni mwenye kuaminiwa sana. Alipoanza kujijengea kiburi hakupewa nafasi ya kujirekebisha hata ajapo tena Mwana wa Adam kwa mara ya pili.
Well said Ndugu,barikiwa!!!!
Lakini kweli mimi si wa Paulo wala wa Petro, ila nazungumzia habari za jiwe kuu la pembeni ambalo waashi walilikataa lakini kumbe ndilo linaloufanya msingi wa ujenzi kuwa imara zaidi. Ikifka mwisho wa siku wewe baki kwa Kakobe au Mwingira, lakini wale waliompokea ajaye kuhukumu dunia watanyakuliwa pamoja naye wala sio kupitia ukatoliki au upentekoste. Hizo ni dini za duniani tu, ambazo wakati mwingine ni chanzo cha vipato kwa walio wachache. Dini iliyo nzuri ni ile ambayo yawezekana hutapenda kuisikia ikitajwa, maana sio wote waendao makanisani wanakwenda kwa malengo yanayofanana. Ndio maana wengine hulala usingizi tangia kuanza kwa ibada hadi wakati wa kutoka nje, kisha huwasalimia wawapendao pamoja na kuwashika mikono wachungaji na mashehe na viongozi wa dini wawaone kwamba walihudhuria. Heri yao wanaojua kwa hakika wanamwamini nani na wakawa na msimamo wasiyumbishwe na mtu. Paulo alisema hata yeye alikuwa anapigana vita ili asije akawapeleka wengine Mbinguni na yeye akabaki. Rose Muhando anasema usiwe kama mpiga debe anayewaambia watu panda twende, kisha yeye anabaki palepale.
Simwamini Kakobe wala Mwingira wala binadamu yeyote awaye yote kwa habari ya kwenda mbinguni. Lakini naungana na yeyote anayeamini kama mimi ambaye tuinaweza kuongea lugha moja ya rohoni na kutiana moyo, maana kama binadamu, wote tumeoza pia, kutiana moyo ni agizo tangu enzi za manabii kabla ya kuzaliwa Yesu Kristo.
Kama nabii nilitegemea afuate maneno ya KRISTO ''atakaye kukunyang'anya kanzu mpe na joho pia'' ama kweli YESU ana kazi sana endapo hata wale manabii wake hawafuati maneno yake!!! hususani ukiangalia na yale ya Mapinga!Mwingira kabomoa mwenge kwa sababu uwanja ni mali ya efatha mwenge jamaa wa AFRO PLUS wanajua hilo sema walikuwa wanakomaa kwa sababu mapepo ndio wanafanya kazi nao.Mwingira ni mmiliki halali wa eneo lote hilo. Kama kaamua kuboa ni haki yake kwa sababu lipo kwenye umiliki wake.
Nabii na mtume joe devi huyu pia ni mjasiriamali mzuri tu mf ukiwa pale kwenye centre yake kisongo viti vya mbele vinalipiwa sh 10000 vya nyuma 5000 then 2000 nk leso zenye sahihi yake sh 5000 kupeleka maombi binafsi israel 100000 na kuendelea naye pia tumwite nabii?
Mwingira kabomoa mwenge kwa sababu uwanja ni mali ya efatha mwenge jamaa wa AFRO PLUS wanajua hilo sema walikuwa wanakomaa kwa sababu mapepo ndio wanafanya kazi nao.Mwingira ni mmiliki halali wa eneo lote hilo. Kama kaamua kuboa ni haki yake kwa sababu lipo kwenye umiliki wake.
Kama nabii nilitegemea afuate maneno ya KRISTO ''atakaye kukunyang'anya kanzu mpe na joho pia'' ama kweli YESU ana kazi sana endapo hata wale manabii wake hawafuati maneno yake!!! hususani ukiangalia na yale ya Mapinga!
Nanyi ndugu zangu mnaomtetea basi chagueni upande either wa Yesu au Mwingira lakini kwa elimu yangu ndogo ya dini naamini MWINGIRA yupo kwa maslahi yake na si ya YESU kwani Yesu havipendi vya dunia kama anavyovipenda MWINGIRA.
TAFAKARI
Mwingira kabomoa mwenge kwa sababu uwanja ni mali ya efatha mwenge jamaa wa AFRO PLUS wanajua hilo sema walikuwa wanakomaa kwa sababu mapepo ndio wanafanya kazi nao.Mwingira ni mmiliki halali wa eneo lote hilo. Kama kaamua kuboa ni haki yake kwa sababu lipo kwenye umiliki wake.
kanisa la mwenge ni mali ya waumini si mwingira peke yake nenda wizara ya mambo ya ndani watakuonyesha usajili wa kanisa. Kama kanisa lilinunua uwanja wa mwenge wewe ulitaka wauache kwa huyo mbabe afro plus amiliki kinyume na sheria? Ata YESU alipoana hekalu Yerusalemu limevamiwa na wahuni na wafanya biashara alitumia nguvu kuwatoa!!
hahahaaa
Uzuri waumini wake tunajua kila kitu yaani historia yake na mambo yake yoote mpaka pale alipo, hakuna jipya utakalo sema wewe sisi tukawa hatulijui kusuhu Apostle & Prophet Josephat Elias Mwingira. Lakini pamoja na yote hayo, Mungu amuona yeye ana nafuu kuliko wewe.
ningekushauri usipende kuwaongelea vibaya watumishi wa Mungu (yeyote yule). Unajua ametumwa na nani wewe? Kwa sababu unaweza kujikuta una fight against him, who he stands for THE ALMIGHT GOD (MUNGU MKUU), na itakapofikia hapo sijui kama utabaki salama kibs.
Maana hata Yesu mwenyewe hakuja kwa ajili ya wema bali wenye dhambi ili wapate kutubu.
NAKUSHAURI UTUBU ili mungu akusamehe usije kufa na dhambi hiyo.
ukiona hukubaliani na mtumishi mpotezee tu. haitakupunguzia chochote.
Regards
G
acha kudanganya watu ndugu yangu! kama ana document za umiliki kwa nini hakutoa notice? lile eneo lote ni mali ya shirika la serikali linaitwa mang'ula sema km vile lilishakufa so mwingira anataka kuchukua eneo kwa nguvu na vitisho! kuna kesi ipo mahakamani toka 2005 na mwingira anadai ana document za umiliki sasa kwa nini asizipeleke mahakamani kuthibitisha umiliki wake? anataka kutapeli ardhi na ameshawalisha sumu waumini wake hata uwambie nini hawasikii!
kwani kafanyaje huyu nabii wa efatha?Huyu mwingira Mbona anajitapa sana,na serikali inamtazama tu .kuna mtu anamsimamia nyumbani si bure!anafanya maovu wazi.hachukuliwi hatua. Kwa nini.?
...leo hii Josephat Mwingira kafunguliwa kesi nyingine Mahakama Kuu - D'salaam. Kesi hiyo imefunguliwa na kampuni ya mawakili ya Ngalo & Co. Advocates. Kesi iliyofunguliwa imepewa namba 6 ya 2012.