Mahakama kuu imetoa hati kukamatwa Nabii na Mtume Josephati Mwingira

Mahakama kuu imetoa hati kukamatwa Nabii na Mtume Josephati Mwingira

Nabii na Mtume Joseph Mwingira amesema, yeye ni Mtume wa mitume wote duniani na hawezi kuogopa na polisi wanao mtafuta.

Amesema serikali ya Tz inaongozwa na watu wanalala makaburi na kuchanjwa chale na waganga wa kienyeji.

Amesema viongoz wakuu akiwemo rais wanavaa pete za wachawi na hirizi hivyo hawana uwezo wa kupambana naye.

Akiongea kwenye ibada alisema kama wananisaka kwa nini wasijekunikamata hapa kanisani? Nitapambana mpaka kieleweke, Nipotayari kufa. Amewataka waumini wake wasitishwe na viogozi wa serikali wanaolala Makaburini.

Ndio mtakapo mjua nabii wa Kweli wa Bwana Yesu katika nyakai hizi za mwisho...
 
Hata Yesu anayeaminiwa na Mwingira aliwakandia viongozi lakini sio kwa style ya Mwingira ambaye nyuma ya pazia ni mnyang'annyi na mfanya biashara mashuhuri kama kina Barabas. Mtume hajifagilii mwenyewe. Kila ajikwezaye atadhiliwa na kila ajidhiliye atakwezwa.

Historia ya uendeshaji wa kiroho wa Mwingira umejaa shaka tupu, lakini ajuaye kuhukumu vizuri ni Mungu mwenyewe. Mwenzake Kakobe alijifagilia sanaaa lakini somo limeanza kupanda kichwani kidogo siku hizi japo baaaaado kabisa. Watenda kazi wa Mungu wa kweli kwa kawaida ni vigumu kuwaona ila kwa kazi zao, nao wapo wengi tu. Kila debe lililo tupu hutika mno!

Paulo alionya sana, lakini maonyo ya Paulo si rahisi watu kama Mwingira wakafurahia kuyafanyia kazi, achilia mbali kuyatafakari kwa ajili yao wenyewe. Kawaida watu wa style ya Mwingira kila asomapo Maandiko anatafakari kwa namna ya kumhusu anayekwenda kumhubiri, yeye mwenyewe anadhani hayamhusu maana tayari anadhani amekubaliwa na Mungu. Hilo nalo, ni tatizo kubwa.
Inaonyesha wewe si muumini wa Kakobe wala Mwingira pia huweze kuwa Mkatoliki ukashauli Wapentecosti .Huna sifa za kumkosoa Kakobe.Mahubiri yake ni ya kweli na Yanalenga kuwasaidia watu
 
mh lakini ya uchawi yana ukweli.nani asiyejua kuwa wanasiasa wengi hupenda kwenda huko kwa wachawi na waganga wa kienyeji kusaka mambo mbalimbali kama ulinzi sijui na mambo mengine.inasikitisha sana coz mlinzi ni Mungu tu.hao wote tunawaweka fungu moja la wanga tu.kila mtu ana uhuru wa kusema atakacho katika zama hizi za uhuru wa habari.sioni kosa hapo.na viongozi wetu wa dini kama hawa na wengineo kama kina Cardinal Pengo wasipokemea maovu mbalimbali kwa serikali yetu unafikiri tuafika kweli???me naona wanafanya vyema kurekebisha jamii,serikali na viongozi wetu.me nafikiri serikali na viongozi wetu pia hukosea,no body is perfect.as human beings we tunamapungufu na makosa.so kurekbishwa ni jambo la kawaida kabisa.
 
Tatizo langu napenda kujiuliza maswali kabla sijasema au ku comment ,
Hivi kuvaa pete ni ushetani au ni ushahidi upi unathibitisha ukweli huu kwani tatizo la haya mambo yakufikirika madhara yake ni makubwa sana kwa wanao amini..

Sasa yeye kiongozi wa kiroho sijui anatatizo gani na kuvaa pete na ana uhakika gani Kama wanashinda makaburini mbona ss hatuwaoni au tuamini na yeye anashinda huko au anapigana nao vikumbo?

Na pia jamani Kama kuna mwenye picha ya zile pete atutumie kwani nakumbuka hata Mhe Ben alikua akivaa mpaka cheni alikua Anatupia kwa mbali ukizingatia wanatoka nchi ya dhahabu bythe way he looks smart on that little gram in his finger hah ha ha

Lingine ni Kuwa jamani nyie viongozi wa kiroho mgongano wa kimaslahi usiwanyeni kuichukia serikali iliyoko madarakani na viongozi kwani kumbukeni hata hao waumini wenu ni watumishi wa serikali hiyo hiyo pengine tuache kuingia kwenye migogoro ya kimaslahi na serikali na kutegemea kupata huruma ya serikali.

Sasa Kama kiongozi wa kiroho umeanza huna hata darasa Moja baada ya muda unamiliki majumba ., Magari na mashule tafsiri yake ni nini na unaingia mgogoro na wananchi wakati wewe pengine ingekua mtetezi wao... Haimpendezi hata mungu sio tu sisi

Sasa nadhani Tuwe wakweli Hawa viongozi na wa dini tujue kua nao ni binadamu km sisi wasijiweke ktk nafasi kuu hivyo na kutoa kauli Kali na hata wale wanaowaongoza kuonekana km ni watu waliopumbazwa na nguvu za Giza kwani ni wengi wamekwenda shule.

Ewe mungu tufunulie Siri kubwa mioyoni mwa watu Hawa tuwaaminio na kuwafuata....
 
Hata mimi napenda kuvaa pete na ninayo ya dhahabu Kama ya Mhe ss sijui mm naabudu shetani yupi na yeye mwingira ana chale kumbe sijui ni za utoto AMA vp
 
mh lakini ya uchawi yana ukweli.nani asiyejua kuwa wanasiasa wengi hupenda kwenda huko kwa wachawi na waganga wa kienyeji kusaka mambo mbalimbali kama ulinzi sijui na mambo mengine.inasikitisha sana coz mlinzi ni Mungu tu.hao wote tunawaweka fungu moja la wanga tu.kila mtu ana uhuru wa kusema atakacho katika zama hizi za uhuru wa habari.sioni kosa hapo.na viongozi wetu wa dini kama hawa na wengineo kama kina Cardinal Pengo wasipokemea maovu mbalimbali kwa serikali yetu unafikiri tuafika kweli???me naona wanafanya vyema kurekebisha jamii,serikali na viongozi wetu.me nafikiri serikali na viongozi wetu pia hukosea,no body is perfect.as human beings we tunamapungufu na makosa.so kurekbishwa ni jambo la kawaida kabisa.
sometimes ukweli huwa unauuma!na wanadamu huwa hatupendi kuambiwa ukweli.
 
Is it possible to technologies the HOLY SPIRIT? To make it part of community development? ... Just asking??
 
Iwapo kweli maneno hayo yamesemwa na mtumishi huyu wa Mungu nadhani kuna kuvuka mipaka ya kutojifahamu kuwa yeye ni nani na anaowasema ni akina nani. Nadhani hapa atakuwa anajikinai na kupandikiza mbegu isyo sawa na sidhani kama Mungu (wa Biblia) anafanya kazi kwenye mazingira kama haya ya mtumishi huyu nabii wa manabii wote.

Mungu pamoja na ukuu wake wote ni mnyenyekevu...sioni dalili yoyote ya unyenyekevu kwa mtumishi kwa maneno kama yaliyotamkwa na hapa inanifanya nitie shaka.

Nawasilisha and i stand to be corrected
 
Sidhani kama kuna mtu asiyejua hayo mambo ya uchawi kwa viongozi wa kisiasa hasa barani mwetu. Wasiwasi wangu ni "contemptuous statements" zinazotolewa hapa na mtumishi. Would Jesus say the same word if He were here? Where does he get all this courage and boldness of profanity to the leaders of the nation? Does he understand the scriptures in Romans 13 about obedience to to higher authority? I bet the words do not come from his mouth but if they do. It is very arrogance of him and that is not the portion of God's servant.

Again I stand to be corrected.
 
Askari wetu msiende kichwa kichwa kumkamata kasema yeye yuko tayari kufa so usikute ana SMG Full loaded na AK-47
 
Mimi sipo upande wowote,

Kwani unapomshutumu mtu jambo ni lazima uwe na uhakika wa jambo,yaani ushahidi wa kutosha beyond reasonable doubt,Unauhakika gani mtu anaongoza kwa majini?Tuweni watu tunaoongozwa na ROHO MTAKATIFU NA NENO LA MUNGU LA KWELI,hata neno kwenye warumi 13,linazungumzia juu ya kuheshimu maamlaka iliyoko madarakani,hata Nabii Mwingira anajua hili,kama kuna tatizo ni vema likatatuliwa kwa njia ya majadiliano kwenye ROUND TABLE.

MUNGU WETU YEYE NI MWEMA KWA WEMA NA WAOVU.
 
Hata biblia inamtaka kutii mamlaka na Yesu pia alitii mamlaka enzi zake...

Huyu jamaaa anatake advantage ya ulegelege na udhaifu wa serikali ya JK kukiuka sheria. Ole wake
 
Back
Top Bottom