Mahakama kuu imetoa hati kukamatwa Nabii na Mtume Josephati Mwingira

Mahakama kuu imetoa hati kukamatwa Nabii na Mtume Josephati Mwingira

Huyu si ni yule bazazi aliyeanzisha benki ili kurahisisha kukata fungu la kumi la mishahara ya wajinga? Yeye mwenyew anatajirika, 10% hatoi!
 
Kwani ni uongo? JK anaongozwa na majini yanayopatikana mi-------
 
Huyu si ni yule bazazi aliyeanzisha benki ili kurahisisha kukata fungu la kumi la mishahara ya wajinga? Yeye mwenyew anatajirika, 10% hatoi!

Hata kama ni bazazi, alichosema ni haki yake kukisema. And so far, kila nikiangalia vidole vya hao wanaojiita viongozi wetu sikosi kuona pete ambazo zimetajwa! Kwa nini nisiamini kuwa nchi inaongozwa na walala makaburini? No wonder mambo yako hivi yalivyo
 
mh! soon watamuweka chini huyu. Serikali lege lege haitaki mchezo na utani hasa katika swala zima la kula nawe uliwe
 
mh! Sitii neno mana hawa mitume,manabii na maaskof wa siku hz wanatia mashaka sn, ijapokua serikali nao ni wachawi
 
Mwingira, japo kuna gharama kwa uliyosema (serikali legelege) kuiumbua namna hii tegemea watawala kukukomalia ili watoe funzo kwa wengine
Anyway, napenda kazi ya kutoa elimu ya uraia inayofanywa na huyu mtume na nabii
 
Hata kama ni bazazi, alichosema ni haki yake kukisema. And so far, kila nikiangalia vidole vya hao wanaojiita viongozi wetu sikosi kuona pete ambazo zimetajwa! Kwa nini nisiamini kuwa nchi inaongozwa na walala makaburini? No wonder mambo yako hivi yalivyo
Aahhh Mtoboa siri taratibu aisee usiikosee heshima pete ya shemeji yako tafadhali, nilimnunulia mwenyewe bana ntakupiga ngumi.
 
Hilo la hawa viongozi kuvaa/kuvalishwa 'mapete' lukuki kwenye vidole vyao hata mimi huwa linanikera!
 
Katika karne hii tutaona na kusikia mengi juu ya manabii wa uongo na ukweli. Yetu macho na masikio.
 
Chonde Chonde Serikali mshughulikieni huyu mwizi wa hela za akina mama
 
Mimi nasubiri majibu ya vitendo kwa waliotupiwa mawe!
 
Kichwa kimeshakuwa kikubwa!!........
Lugalo barracks watakuja kusema pale alipo Mwingira ni eneo lao......then kwisha kazi yake!! itambidi ahamie Mabwepande.
 
Loading................................:A S-coffee:
 
Kichwa kimeshakuwa kikubwa!!........
Lugalo barracks watakuja kusema pale alipo Mwingira ni eneo lao......then kwisha kazi yake!! itambidi ahamie Mabwepande.

unamaanisha kibaha makao makuu ya kanisa lake,ata kule wanambana wanamtumia jamaa mmoja ana shule pale,wanasumbuana ile mbaya.
 
na pale korogwe wamempa karakana za trc hawa wanacheza the same game their jokin' us like foolish
 
Mmmh! kazi ipo, yangu macho na masikio
 
Back
Top Bottom