grey
Senior Member
- Apr 21, 2010
- 159
- 45
Nakupongeza sana kwa majibu yako mazuri.Ila umesema Mwingira anakataza kuvaa mawigi lakini waumini na mkewe wanavaa kwa utashi wao.Sasa Nabii Mwingira alikuwa anakataza Mawigi kwa kutaja neno gani ktk bible mpaka wewe hujui?Au hufuatilii vizuri maana kama alikuwa anahubiri ni kawaida yake kukataza kitu kwa kutaja neno kwenye Bible.Au hatumii bible
Asante kwa pongezi,
Naona umeongeza la kwako hapa "mkewe" havai wigi ni nywele zake, wala watoto wake hawavai wigs. Anapo kataza jambo lolote katika mafundisho yake hutumia (neno la MUNGU) biblia. Sikumbuki exactly mstari. Lakini ni lile la kumkosoa MUNGU(kukosa uasilia wako). Haijataja wigs,rasta na mengineyo. Kuna pafyum na zenyewe utazisemeaje, wanja nao. Kunyoa nywele kwa kuchonga? Mara nyingi rasta na wigs huambatana na mapepo na watumishi walionazo hutakiwa kuzitoa pindi wasogeapo patakatifu pa Mungu wakati wa matukio muhimu kama ubatizo na mengineyo. na katika maisha ya kawaida ya mpasa mtu kulitaksa kabla hajatumia(wigs & rasta na hata mavazi). Toka enzi wanawake wamekuwa wakijipamba na kupendeza katika uhalisia wao na haikukatazwa. Soma biblia ujue historia inasemaje, na sio kuwakataza eti mara wasiweke dawa kwenye nywele mara sijui nini!
Regards
G