Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awe sero kwa kosa gani?Shukuru Mungu unatumia fake Id humu. Kwa kauli hii ungeshakuwa selo
Utter nonsenseTimu gaidi kwisha habari yao
Safi.sana Mdee waonyeshe kazi mpaka Joyce Mukya akome kupewa ubunge wa kupanua mapaja.
tuliishawaambia humu ndani mkatuona hatujui lolote sasa sijui nani anyejua.hawa wadada wataendelea tu kupeta sababu ya technical faults walizofanya CDM.Huyo jaji ndie aliahirisha huo uamuzi last time ili akapewe maelezo ya kuikanyaga haki.
Hii kesi kuanzia mwanzo imeshaonekana kuna external force inatumika kuwalinda hao wanawake 19, hivyo sitashangaa kama wakishinda hiyo kesi yao licha ya Chadema kufuata taratibu zote kuwavua uanachama.
Vinginevyo inaweza kucheleweshwa mpaka 2025 huku muda huo wakiendelea kuwepo bungeni wanakula posho, Samia wa maridhiano hajawahi kuwa serious kwenye hii issue.
Walishafukuzwa uanachama nani ana shida na ubunge wao?? Wanapoteza muda tu maana hata wakishinda kesi CHADEMA itawatimua upya kwa baraza kuu la dharura!! So mnawajaza tu upepo.Si mlisema ubunge wao unaenda kukoma mwezi wa 7? Imekuwaje tena?
Na wataendelea kuwa chadema pia,Covid 19 wataendelea kuwepo bungeni hadi 2025
Mkuu,Ninashauki ya kumfahamu aliyetia saini ya wabumge hao kuteuliwa kutokea Chadema!
Kesi Yao mbona haihusu ubunge ila uanachama!! Whether walikua na karatasi rasmi or not walichofukuzwa ni kukiuka wito wa Kamati kuu kuhojiwa juu ya ubunge.Siasa za bongo ukishughulisha ubongo ni rahisi kutabiri yatakayojiri kwenye kesi za aina hii.
Kwa mawazo yangu hawa COVID 19 waliingia bungeni kwa karatasi zote zinazotakiwa hivyo kuwatoa kwa madai wali fake documents ni ujuha!
Nawaona wakipata ushindi mnono maana nchi ya kibeijing hii kwasasa hadi 2030 ambako wanaume wataikanyaga katiba yaliyopo yazikwe milele!
Hongereni sana COVID 19 nchi mali yenu hii kwasasa wababa ndo walezi wa watoto wa kibongo wamama ndio viongozi maofisini, ikifika 2030 tutaona panapovuja!
Mnyika au Mbowe ndio wanatakiwa kuteua wabunge au ni Kamati kuu?Mkuu,
Alitia saini ni Mnyika kwa ruhusa ya Mbowe!
Muulize Pasco Mayalla atakwambia!
Hiki chama kina upumbavu mwingi sana
CCM pia imempata wakili bora kabisa wa viwango vya juu sana kwa karne hii huyo ni WAKILI PASCAL MAYALA.Chadema ina wanasheria na mawakili wazuri, ila kama walikiuka katiba yao wenyewe ngoja tuone itakavyokuwa
Waliondoka kina Slaa ma Zitto hakikufa ndio sembuse Hawa viti maalum ambavyo ni vya burebure?Chadema inaenda kufa kibaya sana
Hebu zitaje hizo technical faults walizofanya Chadematuliishawaambia humu ndani mkatuona hatujui lolote sasa sijui nani anyejua.hawa wadada wataendelea tu kupeta sababu ya technical faults walizofanya CDM.