hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
nikuulize swali dogo naomba ujibu kila JF, jibu objectively usiweke ushabiki
Je COVID 19 wasingekuwa wabunge kuna mtu yoyote Chadema angehangaika kuwavua uanachama? unao mfano wa mtu alievuliwa uanachama na sababu zake? these two things are connected mkuu!
Yaani in short viongozi Chadema wana majina yao wanataka kupeleka bungeni kwa maslahi ya kipesa au mapenzi kina Joyce wa Miwani Makengeza bin Mmbowe, Halima mtoto wa mjini she has outsmarted them!
Na hivyo ndio ishu ilipo