Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Sisi kijijini kwetu ni hapa jf.Kawaambie wajinga waliolala huko kijijini kwenu.
P
Sisi kijijini kwetu ni hapa jf.Kawaambie wajinga waliolala huko kijijini kwenu.
Hamna waliolala humu, labda chawa wenzako wa ccm.Sisi kijijini kwetu ni hapa jf.
P
Mkuu ww ni mgeni wa nchi hii? Hiyo kuficha mashahidi wa siri Lisu alikataa akasema ni kinyume na katiba. Ila serekali ikashikilia kuwa ni sheria halali, na mahakama ikakubaliana na na mawakili wa serekali! Inshort kesi hasa za kisiasa nchi hii zinaendeshwa kwa maagizo toka juu, na sio sheria zinasema nini. Ingekuwa mahakama zinafuata sheria zitakavyo, Lisu leo asingekuwa mahakamani, maana ushahidi mkuu wa kesi alishaumaliza.Nadhani kurekebisha na kuwa kinyume na Katiba ni mambo mawili tofauti.
Kama alivyosema Pascal Mayalla hukumu imeshatolewa na kubatilisha hiyo Sheria kwa ivo ni Sheria batili.
Lakini pamoja na mahakama kusema ni Sheria batili, bado Sheria hiyo itakuwa imo kwenye vitabu vya sheria vya Tanzania.
Sasa kazi ya kuirekebisha au kuifuta si ya mahakama bali ni ya Serikali kupitia bungeni.
Alichosema Pasco ni kwamba mawakili wa Lissu wakiileta mahakamani hiyo hukumu, basi majaji wa kwenye kesi ya Lissu wataijadili...
Sasa hapo mjadala utakuwa kama jee hukumu hiyo imeathiri pia kesi ya Lissu? Hapo hoja za pande mbili na mtazamo wa majaji ndiyo utaamua kutoka hapa muelekeo utakuwaje.
Nakubaliana na wewe 💯 lakini ili kufika kujua mahakama itasema nini ni lazima mawakili wa Lissu kesho wailete hiyo hukumu mahakamani tuone kina Jaji Ndunguru watasema nini.Mkuu ww ni mgeni wa nchi hii? Hiyo kuficha mashahidi wa siri Lisu alikataa akasema ni kinyume na katiba. Ila serekali ikashikilia kuwa ni sheria halali, na mahakama ikakubaliana na na mawakili wa serekali! Inshort kesi hasa za kisiasa nchi hii zinaendeshwa kwa maagizo toka juu, na sio sheria zinasema nini. Ingekuwa mahakama zinafuata sheria zitakavyo, Lisu leo asingekuwa mahakamani, maana ushahidi mkuu wa kesi alishaumaliza.
Kwa hiyo unapingana na kauli ya Rostam..?..Mahakama zetu ni Mahakama huru, hazifanyi kazi kwa maelekezo au kwa maagizo!.
P
Kumbe wametengeneza ili ionekane hivyo! nimekuelewa P.Mahakama zetu ni Mahakama huru, hazifanyi kazi kwa maelekezo au kwa maagizo!.
P
Paskali Paskali PaskaliMahakama zetu ni Mahakama huru, hazifanyi kazi kwa maelekezo au kwa maagizo!.
P
Majaji wamekuwa too lenient! Sheria yenye madhara haipaswi kupewa hata sekunde moja zaidi ya kuendelea kuumiza watu. Hicho kifungu ni haramu ab initio—kilipaswa kuwa severed immediately!Leo Februari 16, 2026, Jopo la Majaji watatu Mheshimiwa Jaji Fahamu, J. Mheshimiwa Jaji Chuma, na Mheshimiwa Jaji Kamana, limeamua kuwa kifungu cha 194 cha sheria ya mwenendo wa Makosa ya Jinai (Criminal Procedure Act (CPA) ni kinyume cha Katiba kwa kuwa kinampa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai haki ya kipekee kuomba ulinzi wa shahidi bila kumpa mshtakiwa haki sawa, na pia kinaruhusu maombi ya kusikilizwa upande mmoja bila kuhakikisha haki ya kusikilizwa kwa upande mwingine.
Mahakama imetangaza kifungu hicho kuwa batili na imeipa Serikali muda wa miezi 12 kufanya marekebisho ya sheria. Itakumbukwa kwamba, Jamhuri walitumia kifungu hicho na kupeleka Maombi mahakama kuu mbele ya Jaji Mtembwa ambaye alikubali Maombi ya Jamhuri kuficha mashahidi wao wakiita ulinzi wa mashaidi.
Maombi hayo yanasajiliwa na Jamhuri peke yao, wanasikilizwa peke yao na Mahakama inatoa uamuzi. Angalau leo, Mahakama kuu imetamka kwamba Kifungu hicho ni kinyume na Katiba!
Pia soma>> Mawakili zaidi ya 13 wafungua kesi kupinga mashahidi wa siri, wakidai inaleta changamoto za haki na uwazi
Ni kupitia Petition NO. 22482 /2025, kati ya GODFREY MJUNI MARTIN BASASINGOHE dhidi ya ATTORNEY GENERAL & DIRECTOR OF PUBLIC PROSECUTIONS.
======================
Akizungumzia uamuzi huo, Mkurugenzi wa Sheria wa CHADEMA, Wakili Gaston Garubindi amesema, hauwezi kuathiri mwenendo wa kesi ya mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, kwani Mahakama imeipa Serikali miezi 12 kurekebisha sharia hiyo.
“Kwa sasa Serikali imepewa miezi 12 kurekebisha, kwa hiyo sharia inaendelea mpaka muda huo upite. Ukipita sharia hiyo inakuwa batili,” amesema.
Mzee wa PPR, kuna tofauti kubwa kati ya what is na what should be!Mahakama zetu ni Mahakama huru, hazifanyi kazi kwa maelekezo au kwa maagizo ya mtu yeyote!, sio mimi ninayesema haya ni katiba ya JMT ya mwaka 1977. " Mahakama huru zinazotekeleza wajibu wa kutoa haki bila woga wala upendeleo wowote, na hivyo kuhakikisha kwamba haki zote za binadamu zinadumishwa na kulindwa, na wajibu wa kila mtu unatekelezwa kwa uaminifu"
P
Kilichonikera na majaji kina Ngunguru kukubali kujinyima fursa ya kuwa sehemu ya mhimili unaojitegemea.Majaji wamekuwa too lenient! Sheria yenye madhara haipaswi kupewa hata sekunde moja zaidi ya kuendelea kuumiza watu. Hicho kifungu ni haramu ab initio—kilipaswa kuwa severed immediately!
Mahakama zipi hizo?Mahakama zetu ni Mahakama huru, hazifanyi kazi kwa maelekezo au kwa maagizo ya mtu yeyote!, sio mimi ninayesema haya ni katiba ya JMT ya mwaka 1977. "
kama tukishakubali ni kesi za maelekezo, nadhani hata majaji tunatakiwa tuwahurumie --- kutowahurumia majaji pia ni kuukataa uhalisiaKilichonikera na majaji kina Ngunguru kukubali kujinyima fursa ya kuwa sehemu ya mhimili unaojitegemea.
Hebu fikiria kile kisanduku kilivyokuwa kabla ya Lissu kukilalamikia. Walikubalije hata wao kutokumuona shahidi?
Asante.The court when listening to a case, it's blind and deaf, on anything happening outside the court room, ili uamuzi huo ujumuishwe kwenye hii case, the court has to be moved, lazima mawakili wa Lissu wailete hiyo judgment hapo mahakamani na majaji waisome na kuifanyia deliberations
P
Naheshimu mawazo yako japo sikubaliani nayo.Hamna waliolala humu, labda chawa wenzako wa ccm.
Mahakama zipi hizo?
Katiba ipi hiyo unayoizungumzia ni ile iliyoitwa kijitabu?.
Ukweli unakubana moyoni na unajua fika 100% judiciary ya Tanzania ni subordinate wa executive na ulilijua vile vizuri siku umemuuliza Magufuli lile swali 2016 .
View: https://youtu.be/Ta0URHvUlko?si=l0OzuLzYZovayLZh
Magufuli alikujibu kabisa yeye kama head wa executive ni mhimili uliojichimbia , pensheni, mishahara , posho na ruhusa za safari kwa judiciary na vitu vingine anaweza kusitisha na wasimfanye chochote , katika nchi zenye mihimili huru asingethubutu kuongea vile maana asingepona kwenye mihimili huru ila ukweli unaujua hata baada ya pale nini kilifuatia kwako ukiwa pia kama member wa judiciary.
Hakukua na haja ya kuweka rejea nyingi , ukweli unaujua mahakama za Tanzania sio huru hata kwa 1% ni mateka wa executive.Haya mambo nimeyaandika sana
View attachment 3544987
- Madudu haya ya ajabu ya kisheria yaliweza kufanyika vipi wakati tuna Wanasheria?
- Je, wajua kuwa Rais wa JMT ndie Serikali, Bunge na Mahakama? Yuko juu ya Mihimili yote 3. Je, kuna uwezekano Rais wa JMT pia yuko juu Katiba?
- Ili Mahakama Itende Haki: Mahakimu na Majaji waombe Kazi wasailiwe wenye Jicho la Haki ndio waajiriwe, Watazibaini kesi za Kubambikwa
View attachment 3544989
- https://www.jamiiforums.com/posts/39541633/bookmark
- Katiba Yetu Ina Matobo: Serikali Ikikosea, Inashitakika. Je, Bunge na Mahakama Zinapowakosea Watanzania Kama Makosa Haya Tunawashitaki Wapi?
P
Ni jinsi gani Mahakama itakuwa moved ikiwa kuna kifungua cha miezi kumi na mbili kubadili hiyo Sheria na sio papo kwa papo kuwa Sheria hiyo ni batili.The court when listening to a case, it's blind and deaf, on anything happening outside the court room, ili uamuzi huo ujumuishwe kwenye hii case, the court has to be moved, lazima mawakili wa Lissu wailete hiyo judgment hapo mahakamani na majaji waisome na kuifanyia deliberations
P