Mheshimiwa Jaji Kiongozi.
Mahakama ni taasisi nyeti sana katika muunganiko wa Mihimili ya Nchi. Lakini inapotokea mfanyakazi mmoja anaichafua Taasisi hiyo inabidi sisi waathirika tuseme kusudi wewe kama kiongozi umuagalie kwa jicho la tatu, huyo karani yupo Mahakama Kuu ya Tanzania (Mwembeni) Dar es Salaam.
Yeye amekuwa akishirikiana na wadaiwa kusudi wadai wasipate haki zao, anaitwa YASSIN MURUKO nafikiri ndio karani wa Msajili Mfawidhi pale Mahakamani, kazi yake kubwa ni kudai rushwa tu wala haogopi, na usipompa faili lako tarehe nyingine halitapatikana anaficha sana mafaili( kwa hili muulize Mh Tiganga anajua). Kuna faili lilifichwa miezi karibu sita (6) hasa mafaili ya Execution.
Amekuwa mtu wa dharau anajiamini sana kiasi ambacho anajiona na yeye Jaji. Ukiwa na maelekezo uchukue kitu kwake basi utaambiwa njoo kesho njoo kesho zimekuwa nyingi sana wala hata hajui kuwa kuna gharama kuja Mahakamani, kuna watu wamekata tamaa kuja Mahakamani kwa sababu yake, naomba umuangalie kwa jicho la tatu utagundua vitu vingi zaidi ya hivi.
Ahsante.
Mimi na waathirika za huduma zake.