jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Achunguzwe kwanza kwa hayo anayolalamikiwa kwa Sasa!!Siku nyingine akikusumbua mrekodi.
Kuna Kifaa ninaweza kukuonesha utakivaa kwenye mfuko WA shati ukimaliza kuna sehemu utatuma hiyo video.
Asipofukuzwa kazi uniite mbwa!