Mahakama Kuu nchini Kenya imezuia utekelezwaji wa Tozo za miamala kutoka Bank kwenda kwenye simu

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
70,791
Reaction score
98,334
Mahakama Kuu nchini Kenya imezuia utekelezwaji wa Tozo za miamala kutoka Bank kwenda kwenye simu, na simu kwenda bank hadi kesi ya msingi itaposikilizwa.

Je, mahakama zetu zina uwezo huo?
 
Mahakama Kuu nchini Kenya imezuia utekelezwaji wa Tozo za miamala kutoka Bank kwenda kwenye simu, na simu kwenda bank hadi kesi ya msingi itaposikilizwa.

Je mahakama zetu zina uwezo huo?
Hazina uwezo huooo

Ova
 
Mahakama Kuu nchini Kenya imezuia utekelezwaji wa Tozo za miamala kutoka Bank kwenda kwenye simu, na simu kwenda bank hadi kesi ya msingi itaposikilizwa.

Je mahakama zetu zina uwezo huo?
Thubutu
 
Wapinzani wanataka katiba mpya kwasababu ya mambo kama haya, serikali, mahakama na bunge kila mmoja aijuwe mipaka yake. Sisi wananchi wa kawaida njaa imetufanya tuwe chawaaaaa😂.
 
Back
Top Bottom