Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hazina uwezo huoooMahakama Kuu nchini Kenya imezuia utekelezwaji wa Tozo za miamala kutoka Bank kwenda kwenye simu, na simu kwenda bank hadi kesi ya msingi itaposikilizwa.
Je mahakama zetu zina uwezo huo?
ThubutuMahakama Kuu nchini Kenya imezuia utekelezwaji wa Tozo za miamala kutoka Bank kwenda kwenye simu, na simu kwenda bank hadi kesi ya msingi itaposikilizwa.
Je mahakama zetu zina uwezo huo?