Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Not to ignore your quick wit in keeping the forum with updated case details.30 Agosti 2024
Mahakama ya Rufani Tanzania
Rufaa ya Freeman Mbowe kuhusu kukamatwa isivyo halali Mwanza mwaka tarehe 21 Julai 2021 na kutofikishwa mahakamani ndani ya saa 48
Jopo la majaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania lililojumuisha majaji 3 wa mahakama ya Rufani ambao ni Maige, J.A., Mwandambo, J.A., Khamis, J.A. katika kusikiliza kesi ya Freeman Mbowe dhidi ya DPP, IGP na Mwanasheria mkuu wa serikali
Mahakama ya Rufani Tanzania katika rufaa ya Freeman Mbowe kuhusu kukamatwa isivyo halali Mwanza mwaka tarehe 21 Julai 2021 na kutofikishwa mahakamani ndani ya saa 48 imetupwa, kwa kuwa mrufani alipata haki kulalamika mbele ya Mahakama Kuu kuhusu ukiukwaji wa haki ya kufikishwa mahakamani ndani ya saa 48. Na kuwa suala hili ni mtambuka linagusa sheria na katiba ya nchi....
Freeman Aikael Mbowe vs The Director of Public Prosecution & Others (Civil Appeal No. 382 of 2021) [2024] TZCA 836 (30 August 2024)
Kiini cha kesi
View attachment 3083020
Mbowe pamoja na wenzake 11 kutoka chama cha Chadema walikamatwa na polisi usiku wa kuamkia Jumatano jijini Mwanza.
21 Julai 2021
Awali Mahakama kuu ya Tanzania imesikiliza kesi ya kikatiba iliowasilishwa na mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini humo Chadema Freeman Mbowe, anadai ukiukwaji wa katiba na sheria wakati wa kukamatwa kwake huko mkoani Mwanza mwezi uliopita...
Na sasa Mahakama ya Juu Kabisa yaani Mahakama ya Rufani Tanzania:
IN THE COURT OF APPEAL OF TANZANIA AT DAR ES SALAAM
(CORAM: MWANDAMBO. J.A.. MAIGE, 3.A. And KHAMIS, J.A.^
CIVIL APPEAL NO. 382 OF 2021
FREEMAN AIKAEL MBOWE . ....................................APPELLANT
VERSUS
THE DIRECTOR OF PUBLIC PROSECUTION ...................... 1st RESPONDENT
THE INSPECTOR GENERAL OF POLICE ........................... 2nd RESPONDENT
THE ATTORNEY GENERAL ................................................ 3RD
RESPONDENT
(Appeal from the Ruling and Order of the High Court of Tanzania ,Main Registry at Dares Salaam)
(Mqetta, J.)
dated 23rd day of September, 2021 in
Misc. Civil Application No. 21 of 2021
JUDGMENT OF THE COURT
20th & 30th August, 2024
MAIGE. 3.A.:
Article 13 (1) of the Constitution of the United Republic of Tanzania,
2017 ("the Constitution"), provides for equality before the law and
prohibits any form of discrimination. Under sub-article (3) thereof, such right and other civic rights set out in part III of the Constitution are justiciable. To ensure that such right is duly protected, sub-article (6)
requires the state authority to put in place procedures which are appropriate or that which observe the following principles
Page 1
might have already affected the appellant, would have not been dealt with by the criminal court. Come what may, in as long as what are alleged to have been committed or omitted are prohibited by statutory laws, they
would, if proved, amount to abuses of powers by the respective
government authorities to the extent that they are utra vires the law. Such an illegal conduct can effectively be addressed by way of ordinary judicial review whose primary purpose is to supervise the legislature and executive
branches where they exceed their statutory powers. This was theposition in the Attorney General v. Dickson Sanga (supra) where it was observed:
"7/7
his oral submissions, the Solicitor General contended that, a remedy of judicial review is available to the accused personf on alleged abuse o f authority by
the DPP. Apart from agreeing with the Solicitor Genera!'it is our firm view that the Constitution which is the
supreme law o f the land frowns on the abuse or misuse
o f procedures in dispensing crim inal justice.
Thus, in case o f any abuse by the DPP the safeguard and remedy is to seek judicial review before the High Court by
invoking the Law Reform (Fatal Accidents and Miscellaneous Provisions) Act, [CAP 310 R.E. 2002] as correctly asserted by the Solicitor General."
page 13
READ MORE :
Freeman Aikael Mbowe vs The Director of Public Prosecution & Others (Civil Appeal No. 382 of 2021) [2024] TZCA 836 (30 August 2024)
Lakini kwanini saa zingine unaleta case decisions kwenye maamuzi ya mahakama. Case ambazo hazina uhusiano wowote wa presence ya maamuzi ya mada husika.
Kwani lazima uweke cases ili mradi tu hata kama disputes ni tofauti kabisa. Faida ya msomaji kujifunza hizo case zako na ku-relate na mada husika inakuwa wapi zaidi ya kuchosha watu tu.
Hayo maelezo yenyewe ya maamuzi ya mahakama kusoma yanachosha mpaka page ya 10 hakuna maelezo ya msingi wa dispute zaidi ya upuuzi.
Halafu tena tuanze kusoma na mambo yako ambayo hayana relation yoyote as precedence or having any relation na dispute husika.
At times unachosha