Mahakama Kuu strikes again- Yatupilia mbali kesi ya watu 120 wanaopinga kuhamishwa kupisha hifadhi Mbeya- wakitetewa na Mwabukusi

Not to ignore your quick wit in keeping the forum with updated case details.

Lakini kwanini saa zingine unaleta case decisions kwenye maamuzi ya mahakama. Case ambazo hazina uhusiano wowote wa presence ya maamuzi ya mada husika.

Kwani lazima uweke cases ili mradi tu hata kama disputes ni tofauti kabisa. Faida ya msomaji kujifunza hizo case zako na ku-relate na mada husika inakuwa wapi zaidi ya kuchosha watu tu.

Hayo maelezo yenyewe ya maamuzi ya mahakama kusoma yanachosha mpaka page ya 10 hakuna maelezo ya msingi wa dispute zaidi ya upuuzi.

Halafu tena tuanze kusoma na mambo yako ambayo hayana relation yoyote as precedence or having any relation na dispute husika.

At times unachosha
 
Case ambazo hazina uhusiano wowote wa presence ya maamuzi ya mada husika.

Tizama post #17 , hapo juu angalizo kwa JF nimeshangaa moderators wa JF kuunganisha uzi wangu uliokuwa unajitegemea #5 : mimi namashaka kuna robots AI au moderators wa JF wanamahaba na CCM :

Maxence Melo Mubyazi,
MODERATORS WA JAMIIFORUMS WAZIDI KUIKINGIA KIFUA CHAMA DOLA KONGWE KWA KUCHANGANYA WATU:

Moderator wachanganya kesi ya ardhi ya Mbozi Mbeya iliyokuwa Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga kuhamishwa kwa nguvu.

Na kesi ya mwenyekiti Freeman Mbowe iliyokuwa Mahakama ya Rufani Tanzania kuhusu kupinga kushikiliwa na Polisi kwa zaidi ya saa 48 bila kufikishwa mahakamani

C.c Maxence Melo Mubyazi JamiiForums
 
That makes sense

Ndio nikawa najiuliza hizo case zako zina uhusiano gani na mada.

Moderators ni shida wakati mwingine kwao hawajui tofauti ya apple and pears.

Sorry
 
MY POINT IS: Bila kificho, High court ni kituko , takataka tupu! NI SERVANT OF THE EXECUTIVE AND CCM📌🔨
 
Hivi tunaambiwa Kiswahili ndiyo lugha ya Taifa, (siyo kiingereza); na kweli majority ya waTanzania hawajui kiingereza, halafu hukumu inatolewa kiingereza, siyo "matusi" jamani?

Ni Nchi ya maajabu sana hii. Sheria zipo kiingereza, watu hawajui kiingereza sasa hizi sheria zinamhusu nani? Unamhukumu mtu ambaye hata sheria hajui. [samahani ni nje ya topic kidogo].
 
Kwamba Mwambukusi amepigwa!! Kumbe siyo hao wananchi 120?

Watanzania walio wengi kama wewe ni Wapumbavu.
 
Moderators ni shida wakati mwingine kwao hawajui tofauti ya apple and pears

Baadhi yao moderators siyo wasomaji makini kama ilivyo kwa wanachama wasomaji wa JF, huamua kuchanganya uzi mmoja na mwingine bila kwanza kusoma kuona tofauti kubwa iliyopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…