Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

kitamu zaidi anaupiga kimya kimya, anazidi kujizolea point 3 kila mechi... Akimalizia na hili la Katiba na tume huru aisee hatutakuwa na zawadi ya kumpa mama wa watu.
Tuache waislamu waongoze nchi hakuna namna, ukiangalia dikteta, Ndugai, Mwigulu, Makonda, Mnyeti, Kabudi, Ndalichako, Gwajima, Sabaya, Kasesele n.k unaona kabisa sisi wakristo ni watu wa hovyo sn sijui hata makanisani tunafundishwa nini? mbona Bwana wetu Yesu Kristo ni mnyenyekevu sana? kuna la kujifunza asee.
 
Halafu bado kuna watu wanasema katiba mpya si kipaumbele chao- Haya yalitokea katiba ikiboreshwa hayatakwepo tena
... likiibuka tapeli la kisiasa tumekwisha. Bila kuwa na proper means ya ku-regulate nguvu za watawala (Katiba bora) ni hatari sana kwa ustawi wa nchi. Leo wanaweza kujitungia sheria ya kutoshtakiwa bila wasiwasi wowote ili wafanye wapendavyo! This is dangerous!
 
Kwani Mwendazake alikuwepo mahakamani wakati akina Mbowe na wenzake wanahukumiwa? Hakimu alikuwa ni Mwendazake?

Na leo hii hakimu ni Rais Samia?
 
Matunda ya uhuru na haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…