The Elephant
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 4,342
- 4,614
Halafu bado kuna watu wanasema katiba mpya si kipaumbele chao- Haya yaliyotokea katiba ikiboreshwa hayatakwepo tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuache waislamu waongoze nchi hakuna namna, ukiangalia dikteta, Ndugai, Mwigulu, Makonda, Mnyeti, Kabudi, Ndalichako, Gwajima, Sabaya, Kasesele n.k unaona kabisa sisi wakristo ni watu wa hovyo sn sijui hata makanisani tunafundishwa nini? mbona Bwana wetu Yesu Kristo ni mnyenyekevu sana? kuna la kujifunza asee.kitamu zaidi anaupiga kimya kimya, anazidi kujizolea point 3 kila mechi... Akimalizia na hili la Katiba na tume huru aisee hatutakuwa na zawadi ya kumpa mama wa watu.
... likiibuka tapeli la kisiasa tumekwisha. Bila kuwa na proper means ya ku-regulate nguvu za watawala (Katiba bora) ni hatari sana kwa ustawi wa nchi. Leo wanaweza kujitungia sheria ya kutoshtakiwa bila wasiwasi wowote ili wafanye wapendavyo! This is dangerous!Halafu bado kuna watu wanasema katiba mpya si kipaumbele chao- Haya yalitokea katiba ikiboreshwa hayatakwepo tena
Tena waislamu wa Zanzibar. Yaonekana Mama amegoma kabisa kushiriki dhurma. Zanzibar oyeee... !Tuache waislamu waongoze nchi hakuna namna,
You're rightHalafu bado kuna watu wanasema katiba mpya si kipaumbele chao- Haya yalitokea katiba ikiboreshwa hayatakwepo tena
JK ni Mzanzibar?tena waislamu wa Zanzibar.
Mungu ni mwema haki ya mtu haipotei bure hongera Awamu ya sita ya uongozi.Nchi ilikua inaongozwa na Matapeli tu! Mama anaupiga mwingi Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Narudia tena km habari hii ina ukweli chonde chonde CDM kwa sababu mpo kwny ujenzi wa ofisi zenu nchi nzima kwa hicho kidogo ambacho watanzania waliwachangieni kitumeni kwny majimbo yenu tena kwa usawa kimalizie ujenzi wa ofisi itakuwa kumbukumbu nzuri kwenu
Kabisa... yule mwendawazimu alikuwa analazimisha kutupeleka siko! Alaaniwe milele!
Matunda ya uhuru na hakiMahakama Kuu, imebatilisha hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kesi ya Jinai iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake 7 na kuamuru warejeshewe fedha walizolipa kama faini, kiasi cha Sh.350 milioni. Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Irvin Mgeta. View attachment 1829233