Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

Mil 300 ni ndogo kujenge ofisi mikoa yote ,wajenge ofisi nzuri kubwa ya makao makuu
 
Tuliozichanga kuwachangia waliodaiwa kuwa waharifu, tutarudishiwa pesa zetu ama na sisi tuingie Mahakamani kuwadai wanaorudishiwa hizi pesa na wakati wananchi ndio tuliwachangia?
 
Hizi mahakama wakati mwingine zinatuchanganya zinatoa hukumu zinageuka zinanyang'anya hukumu, ni kama kuna ubabaishaji fulani
 
kitamu zaidi anaupiga kimya kimya, anazidi kujizolea point 3 kila mechi... Akimalizia na hili la Katiba na tume huru aisee hatutakuwa na zawadi ya kumpa mama wa watu.
Na CCM yake anaondoka nayo.
 
Mil 300 ni ndogo kujenge ofisi mikoa yote ,wajenge ofisi nzuri kubwa ya makao makuu

wajenge vipi na wakati tulichangishwa pesa ili watoke sero?

Turudishiwe chetu sasa
 
Hukumu hiyo pia inawahusu halma mdee na wenzake wote walio hamia ccm akina masinji?
 

wajenge vipi na wakati tulichangishwa pesa ili watoke sero?

Turudishiwe chetu sasa
Kwahiyo ulichanga ya nini wakati ilikuwa hiari na watu walitoa kama msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…