Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mtanyooka sana sisi tunazidi kuzika uchafu wenu woote mliouganya kwa watanzania alafu mnalazimisha legacySi ndio maana tunasema mi 10 tena kwa mama?
Tena hadi 2050
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtanyooka sana sisi tunazidi kuzika uchafu wenu woote mliouganya kwa watanzania alafu mnalazimisha legacySi ndio maana tunasema mi 10 tena kwa mama?
Tena hadi 2050
It seems wewe ni mgeni nchi hii!Kwani Mwendazake alikuwepo mahakamani wakati akina Mbowe na wenzake wanahukumiwa? Hakimu alikuwa ni Mwendazake?
Na leo hii hakimu ni Samia Suluhu?
Wacha kufuru weweMungu amsamehe Mwendazake dhambi zake huko aliko...hakuwa yeye ni makosa ya kibinadamu.
Kabisa!Mtanyooka sana sisi tunazidi kuzika uchafu wenu woote mliouganya kwa watanzania alafu mnalazimisha legacy
Mi 10 tena kwakeView attachment 1829280
Mama huyo
Tume HURU ili ajipimeMi 10 tena kwake
Mil 300 ni ndogo kujenge ofisi mikoa yote ,wajenge ofisi nzuri kubwa ya makao makuuNarudia tena km habari hii ina ukweli chonde chonde CDM kwa sababu mpo kwny ujenzi wa ofisi zenu nchi nzima kwa hicho kidogo ambacho watanzania waliwachangieni kitumeni kwny majimbo yenu tena kwa usawa kimalizie ujenzi wa ofisi itakuwa kumbukumbu nzuri kwenu
Hizi mahakama wakati mwingine zinatuchanganya zinatoa hukumu zinageuka zinanyang'anya hukumu, ni kama kuna ubabaishaji fulaniAlipokuwa akisoma mashitaka hayo February 22, 2018, Wakili wa Serikali Mwandamizi, Faraja Nchimbi alidai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri kuwa ,washitakiwa kwa pamoja walitenda makosa hayo Februari 16, mwaka 2018 maeneo ya Viwanja vya Buibui na Barabara ya Kawawa, Mkwajuni wilayani Kinondoni, Dar es Salaam...
Na CCM yake anaondoka nayo.kitamu zaidi anaupiga kimya kimya, anazidi kujizolea point 3 kila mechi... Akimalizia na hili la Katiba na tume huru aisee hatutakuwa na zawadi ya kumpa mama wa watu.
Mil 300 ni ndogo kujenge ofisi mikoa yote ,wajenge ofisi nzuri kubwa ya makao makuu
Tume huru ya nini tena?Tume HURU ili ajipime
Kwahiyo ulichanga ya nini wakati ilikuwa hiari na watu walitoa kama msaada
wajenge vipi na wakati tulichangishwa pesa ili watoke sero?
Turudishiwe chetu sasa
Akili yako ni ndogo sana.Kwani Mwendazake alikuwepo mahakamani wakati akina Mbowe na wenzake wanahukumiwa? Hakimu alikuwa ni Mwendazake???
Na leo hii hakimu ni SSH???