Mahakama Kuu yaahirisha kutoa hukumu ya kina Halima Mdee leo Julai 6, 2022

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
FW-XrzCXoAIu6hb.jpg
Mahakama Kuu Masijala ya Dar es Salaam, imeahirisha kutoa uamuzi kuhusu maombi ya Halima Mdee na wenzake 18 ya kufungua kesi dhidi ya CHADEMA, leo Julai 6, 2022.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume ya Uchaguzi kupinga kufukuzwa uanachama, hadi Ijumaa Julai 8, 2022. Msajili amesema uamuzi haujakamilika.
 
Wasogeze sogeze hivyo hivyo mpaka 2025 ili mchepuko wa mwenyekiti akose ubunge safari hii
 
Waendelee kusogeza hivyohivyo mpaka mwaka 2025
 
Hukumu hiyo itatoka kupoza fukuto la Bei za mafuta kubadili upepo.

Ngoja atoke mapumzikoni.
 
Mahakama Kuu Masijala ya Dar es Salaam, imeahirisha kutoa uamuzi kuhusu maombi ya Halima Mdee na wenzake 18 ya kufungua kesi dhidi ya CHADEMA, leo Julai 6, 2022.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume ya Uchaguzi kupinga kufukuzwa uanachama, hadi Ijumaa Julai 8, 2022. Msajili amesema uamuzi haujakamilika.
CCM waapisheni UPYA kina HALIMA na Wenzake kuwa Wabunge Viti Maalum CCM mbona Uwezo huo mnao?
 
Jawabu la hili swali linamaliza kesi hapo hapo na kuwaacha Wananchi waendelee na shughuli zap

Sijajua kwanini Jaji anazunguruka?!
Mungu ni mwema wakati wote
 
Mahakama Kuu Masijala ya Dar es Salaam, imeahirisha kutoa uamuzi kuhusu maombi ya Halima Mdee na wenzake 18 ya kufungua kesi dhidi ya CHADEMA, leo Julai 6, 2022.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume ya Uchaguzi kupinga kufukuzwa uanachama, hadi Ijumaa Julai 8, 2022. Msajili amesema uamuzi haujakamilika.
Sawa
 
Ikihusu kuumbuliwa serikali, hutasikia swali hili likifanyiwa kazi, na swali hili ndo linaeleza mahakama zetu zisivyo huru
 
Back
Top Bottom