Ostrich eggs
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 638
- 453
AMENJawabu la hili swali linamaliza kesi hapo hapo na kuwaacha Wananchi waendelee na shughuli zap
Sijajua kwanini Jaji anazunguruka?!
Mungu ni mwema wakati wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AMENJawabu la hili swali linamaliza kesi hapo hapo na kuwaacha Wananchi waendelee na shughuli zap
Sijajua kwanini Jaji anazunguruka?!
Mungu ni mwema wakati wote
... of course Kamati Kuu Chadema ilikutana kuteua yale majina 19 ni mjinga tu asiyejua ukweli huo. Na (Kamati Kuu) ikaagiza as soon as practicable, with immediate effect, Nusrat Hanje afunguliwe kutoka gerezani kwenda kuapishwa!Jawabu la hili swali linamaliza kesi hapo hapo na kuwaacha Wananchi waendelee na shughuli zap
Sijajua kwanini Jaji anazunguruka?!
Mungu ni mwema wakati wote
Mara paaaah mdee kaja na clip za kikao ambacho walichagua hahaha nasikia covid wanataka kuwe na TV mahakamaniJawabu la hili swali linamaliza kesi hapo hapo na kuwaacha Wananchi waendelee na shughuli zap
Sijajua kwanini Jaji anazunguruka?!
Mungu ni mwema wakati wote
Tumaini lao Hayati Mfalme Juha wa Burigi aliishawaachaKuna vigogo LAZIMA tetemeko liwapitie ......
Kwanza Ismail Kambona hayuko Serious, na Sio Mmahakama So Wamempa Kesi Ambayo Ni Ngumu SAna kwakeMahakama Kuu Masijala ya Dar es Salaam, imeahirisha kutoa uamuzi kuhusu maombi ya Halima Mdee na wenzake 18 ya kufungua kesi dhidi ya CHADEMA, leo Julai 6, 2022.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume ya Uchaguzi kupinga kufukuzwa uanachama, hadi Ijumaa Julai 8, 2022. Msajili amesema uamuzi haujakamilika.
Ila Tanza-nia buanaMahakama Kuu Masijala ya Dar es Salaam, imeahirisha kutoa uamuzi kuhusu maombi ya Halima Mdee na wenzake 18 ya kufungua kesi dhidi ya CHADEMA, leo Julai 6, 2022.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume ya Uchaguzi kupinga kufukuzwa uanachama, hadi Ijumaa Julai 8, 2022. Msajili amesema uamuzi haujakamilika.
Ww ni fala Sana!Wasogeze sogeze hivyo hivyo mpaka 2025 ili mchepuko wa mwenyekiti akose ubunge safari hii
Hatuna nchi aisee. Ni kikoba!
Mke mdogo wa mwenyekiti una nongwa....!!Wasogeze sogeze hivyo hivyo mpaka 2025 ili mchepuko wa mwenyekiti akose ubunge safari hii
Kiukweli naunga mkono mawazo yako. Sioni nia na dhamira njema kwenye hayo mazungumzo.Naona jamaa wa Samia wanafanya kila jambo la kukatisha tamaa kwa CHADEMA ili maridhiano yakome, naendelea kuwashauri Chadema waondoke huko watanzania wanaona ukweli ulipo.