Mahakama Kuu yaahirisha kutoa hukumu ya kina Halima Mdee leo Julai 6, 2022

Jawabu la hili swali linamaliza kesi hapo hapo na kuwaacha Wananchi waendelee na shughuli zap

Sijajua kwanini Jaji anazunguruka?!
Mungu ni mwema wakati wote
... of course Kamati Kuu Chadema ilikutana kuteua yale majina 19 ni mjinga tu asiyejua ukweli huo. Na (Kamati Kuu) ikaagiza as soon as practicable, with immediate effect, Nusrat Hanje afunguliwe kutoka gerezani kwenda kuapishwa!
 
John kama John katika ubora wako. Mayalllla amekusikia?
 
Jawabu la hili swali linamaliza kesi hapo hapo na kuwaacha Wananchi waendelee na shughuli zap

Sijajua kwanini Jaji anazunguruka?!
Mungu ni mwema wakati wote
Mara paaaah mdee kaja na clip za kikao ambacho walichagua hahaha nasikia covid wanataka kuwe na TV mahakamani
 
Kwanza Ismail Kambona hayuko Serious, na Sio Mmahakama So Wamempa Kesi Ambayo Ni Ngumu SAna kwake

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ila Tanza-nia buana
 
hao wakina mama waachwe wapige kazi wakina mama wakiwezeshwa wanaweza.
 
Naona jamaa wa Samia wanafanya kila jambo la kukatisha tamaa kwa CHADEMA ili maridhiano yakome, naendelea kuwashauri Chadema waondoke huko watanzania wanaona ukweli ulipo.
Kiukweli naunga mkono mawazo yako. Sioni nia na dhamira njema kwenye hayo mazungumzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…