Mahakama kuu yaamuru serikali kusitisha zoezi la wanajeshi kwenda mtaani kuzuia maandamo

Kenya hadi rahaa, wana support hadi ya mahakama kuu
Sisi huku tujaribu tuone polisi watakavyotunyofoa juujuu😂
Raha ipo wapi? Wangekua na taasisi imara. Sidhani kama wangefika hapa walipo. Kilichopo kila taasisi inasema lake. Rais, Mahakama, Bunge! Utadhani serikali 3 tofauti
 
Kenya wako so dis organized
Hawako pamoja kwenye issue serious kama Usalama wa Taifa ukiwa hatarini

Kenya Kwa Sasa ni kama failed state hakuna mwenye power si serikali ,bunge Wala mahakama sijui wanatokaje hapo

Lakini initial stages zote za failed state zinaanza kuonekana Kenya

Waandamanaji wasio na kiongozi anayeeleweka ndio wana control nchi

Kenya imepeleka polisi Haiti a failed state kutoka Haiti itawalike Wakati huku.nyuma Kenya wenyewe wanatengeneza failed state nchi Yao ni paradox
 
Kenya wako so dis organized
Hawako pamoja kwenye issue serious kama Usalama wa Taifa ukiwa hatarini

Kenya Kwa Sasa ni kama failed state hakuna mwenye power si serikali ,bunge Wala mahakama sijui wanatokaje hapo

Lakini initial stages zote za failed state zinaanza kuonekana Kenya

Waandamanaji wasio na kiongozi anayeeleweka ndio wa na control nchi

Kenya imepeleka polisi Haiti a failed state kutoka Haiti itawalike Wakati huku.nyuma Kenya wenyewe wanatengeneza failed state nchi Yao ni paradox
Wahuni wamejaa hapo Kenya kuanzia namba 1 mwenyewe. Hajielewi anataka nn. Unawakamua Wananchi Kodi halafu unazitumbua wewe na wa-Kalenjin wenzio
 
Woga umewajaa baada ya waandamanaji kuchoma jengo lao la mahakama ya rufaa

Wanaogopa wasiwavamie kwenye makazi Yao

Waandamanaji wamevamia jengo la bunge na kuharibu na la mahakama wakaharibu

Mahakama ya Kenya imejaa woga wajinga wakubwa

Majaji wa Tanzania chukulieni huo uamuzi wa majaji Kenya kama uamuzi wa aibu usiozingatia taaluma Wala weledi Bali woga tu
wajinga kumbe wapo mpaka huku🙄🙄🙄
 
wajinga kumbe wapo mpaka huku🙄🙄🙄
Majaji wa Kenya hazimo.kichwani waandamanaji wanapora maduka wanachoma mahakama na jengo la bunge na magari ya jeshi unasema polisi wasiingie mitaani

Ujinga mtupu
Kwenye Hali kama hiyo ilitakiwa jaji Mkuu ,Raisi ,Mkuu wa majeshi na Spika wakae haraka kunusuru nchi Nini kifanyike

Mahakama ya kijinga sana hiyo ya kenya
 
Wewe ndo mjinga hujui mob psychology ilivyo, wangefanikiwa kuangusha serikali yao uganda na Tanzania haziwezi kubaki salama kamwe acha mob psychology ni hatari na inasambaa kwa haraka.
 
Jamaa kashituka bunge lilikua linataka kumtoa kafara..................wabunge walipitisha hio kitu haraka wakijua wanachokifanya, bomu lilitakiwa limripukie Ruto ,labda jamaa akili inaanza kutulia maana akiendelea kutoa maamuzi kwa kupanic jeshi litampindua
Hivi sijui kama Chura Kiziwi anasoma alama za nyakati au anaamini katika uchawa
 
Jeshi letu imara la JWTZ, makambi yote (mfano Makutopora, Ngerengere, nk), askari wangemwaga kila mtaa wa Kenya ili kufanya usafi asubuhi na kurejea mchana Dodoma kwa ajili ya lanchi.
Mnawaza ujinga tu. Mahakama Kuu imezuia KDF kuingia mitaani, wewe unaongelea JWTZ ambao walimkatalia Chalamila kuwahusisha kwenye maandamano ya CHADEMA.
 
Jamaa kashituka bunge lilikua linataka kumtoa kafara..................wabunge walipitisha hio kitu haraka wakijua wanachokifanya, bomu lilitakiwa limripukie Ruto ,labda jamaa akili inaanza kutulia maana akiendelea kutoa maamuzi kwa kupanic jeshi litampindua
Wala hajashtuka, nchi nzima imeukataa muswada angefanyaje?. Kwa mara ya kwanza bunge limevamiwa na Siwa kuibiwa.
 
Woga umewajaa baada ya waandamanaji kuchoma jengo lao la mahakama ya rufaa

Wanaogopa wasiwavamie kwenye makazi Yao

Waandamanaji wamevamia jengo la bunge na kuharibu na la mahakama wakaharibu

Mahakama ya Kenya imejaa woga wajinga wakubwa

Majaji wa Tanzania chukulieni huo uamuzi wa majaji Kenya kama uamuzi wa aibu usiozingatia taaluma Wala weledi Bali woga tu
Rostam Aziz alishatumbia Mahakama za Tanzania unapiga simu moja tu wanabadilisha hukumu. Vilaza wakubwa.
 
Kuna maiti zaidi ya 10 hiyo mahakama yenyewe imefika mahali imeona wasipoenda soft Ile vumbi itachafua Kenya wakose pa kuendeshea vx zao kmmk wanasiasa na hizo elite group huuma na kupuliza
Muwe mnasoma hata hukumu sio kuropoka. Rais hakufuata process za kisheria kutaka jeshi liingie mtaani. Au mmeumia kwa Rais kukubali kushindwa na kurudisha muswada bungeni? Wabongo bwana.
 
Back
Top Bottom