Mahakama kuu yaamuru serikali kusitisha zoezi la wanajeshi kwenda mtaani kuzuia maandamo

Mahakama kuu yaamuru serikali kusitisha zoezi la wanajeshi kwenda mtaani kuzuia maandamo

Kenya wametuacha mbali sana kwenye utawala bora wenzetu wametenganisha kabisa shuguli & mamlaka za Serikali, Bunge na Mahakama.

Kwetu hapa mama Abdul kahodhi mhimili yote 3 yake afu vijana ( 18 - 35 yrs) wakikenua meno wakiacha wazee kina Mpina eti wawapambanie, ni abu.
 
Raha ipo wapi? Wangekua na taasisi imara. Sidhani kama wangefika hapa walipo. Kilichopo kila taasisi inasema lake. Rais, Mahakama, Bunge! Utadhani serikali 3 tofauti
Unatetea mahakama zipi hizi za Tanzania ambazo mpaka Leo zimeshindwa kuamua kesi za COVID 19 au hizi za Rostam Azizi alizosema unapiga simu moja hukumu inabadilshwa. Tuache kutetea ujinga mahakama za Kenya zimetuzidi mbali.
 
Kenya wako so dis organized
Hawako pamoja kwenye issue serious kama Usalama wa Taifa ukiwa hatarini

Kenya Kwa Sasa ni kama failed state hakuna mwenye power si serikali ,bunge Wala mahakama sijui wanatokaje hapo

Lakini initial stages zote za failed state zinaanza kuonekana Kenya

Waandamanaji wasio na kiongozi anayeeleweka ndio wana control nchi

Kenya imepeleka polisi Haiti a failed state kutoka Haiti itawalike Wakati huku.nyuma Kenya wenyewe wanatengeneza failed state nchi Yao ni paradox
Failed state ni Tanzania. Inayoongozwa na mhimili mmoja basi.
 
Wahuni wamejaa hapo Kenya kuanzia namba 1 mwenyewe. Hajielewi anataka nn. Unawakamua Wananchi Kodi halafu unazitumbua wewe na wa-Kalenjin wenzio
Kama Kenya ni wahuni, je serikali ya Tanzania itakuwa ni Nini?. Kubalini Kenya Wana strong institutions sio huku Jaji Mkuu na Spika wa bunge ni machawa wa Rais.
 
Ndio maana ukabila ,udini,ukanda ni mbaya sana siku yakilipuka hakuna wa kuzima
Wivu tu unakusumbua. Mmebakia kulalamika wakati Jana tu mlikuwa mnadhihaki maandamano, Rais kakubali na kuomba Radhi mmegeuka Tena kushutumu. Kwa mara ya kwanza Wakenya walisahau ukabila na kupambana pamoja. Sio huku kila mtu chawa wa mama.
 
Muwe mnasoma hata hukumu sio kuropoka. Rais hakufuata process za kisheria kutaka jeshi liingie mtaani. Au mmeumia kwa Rais kukubali kushindwa na kurudisha muswada bungeni? Wabongo bwana.
Ungekuwa na akili ungetumia "uwe"ujumla uliotumia inaonesha umeongea kwa Kutumia shimo lako la nyuma lenye Ute Ute
 
Back
Top Bottom