Raha ipo wapi? Wangekua na taasisi imara. Sidhani kama wangefika hapa walipo. Kilichopo kila taasisi inasema lake. Rais, Mahakama, Bunge! Utadhani serikali 3 tofautiKenya hadi rahaa, wana support hadi ya mahakama kuu
Sisi huku tujaribu tuone polisi watakavyotunyofoa juujuu😂
Kenya wako so dis organizedRaha ipo wapi? Wangekua na taasisi imara. Sidhani kama wangefika hapa walipo. Kilichopo kila taasisi inasema lake. Rais, Mahakama, Bunge! Utadhani serikali 3 tofauti
Wahuni wamejaa hapo Kenya kuanzia namba 1 mwenyewe. Hajielewi anataka nn. Unawakamua Wananchi Kodi halafu unazitumbua wewe na wa-Kalenjin wenzioKenya wako so dis organized
Hawako pamoja kwenye issue serious kama Usalama wa Taifa ukiwa hatarini
Kenya Kwa Sasa ni kama failed state hakuna mwenye power si serikali ,bunge Wala mahakama sijui wanatokaje hapo
Lakini initial stages zote za failed state zinaanza kuonekana Kenya
Waandamanaji wasio na kiongozi anayeeleweka ndio wa na control nchi
Kenya imepeleka polisi Haiti a failed state kutoka Haiti itawalike Wakati huku.nyuma Kenya wenyewe wanatengeneza failed state nchi Yao ni paradox
Ndio maana ukabila ,udini,ukanda ni mbaya sana siku yakilipuka hakuna wa kuzimaWahuni wamejaa hapo Kenya kuanzia namba 1 mwenyewe. Hajielewi anataka nn. Unawakamua Wananchi Kodi halafu unazitumbua wewe na wa-Kalenjin wenzio
wajinga kumbe wapo mpaka huku🙄🙄🙄Woga umewajaa baada ya waandamanaji kuchoma jengo lao la mahakama ya rufaa
Wanaogopa wasiwavamie kwenye makazi Yao
Waandamanaji wamevamia jengo la bunge na kuharibu na la mahakama wakaharibu
Mahakama ya Kenya imejaa woga wajinga wakubwa
Majaji wa Tanzania chukulieni huo uamuzi wa majaji Kenya kama uamuzi wa aibu usiozingatia taaluma Wala weledi Bali woga tu
Majaji wa Kenya hazimo.kichwani waandamanaji wanapora maduka wanachoma mahakama na jengo la bunge na magari ya jeshi unasema polisi wasiingie mitaaniwajinga kumbe wapo mpaka huku🙄🙄🙄
Wewe ndo mjinga hujui mob psychology ilivyo, wangefanikiwa kuangusha serikali yao uganda na Tanzania haziwezi kubaki salama kamwe acha mob psychology ni hatari na inasambaa kwa haraka.Majaji wa Kenya hazimo.kichwani waandamanaji wanapora maduka wanachoma mahakama na jengo la bunge na magari ya jeshi unasema polisi wasiingie mitaani
Ujinga mtupu
Kwenye Hali kama hiyo ilitakiwa jaji Mkuu ,Raisi ,Mkuu wa majeshi na Spika wakae haraka kunusuru nchi Nini kifanyike
Mahakama ya kijinga sana hiyo ya kenya
Hivi sijui kama Chura Kiziwi anasoma alama za nyakati au anaamini katika uchawaJamaa kashituka bunge lilikua linataka kumtoa kafara..................wabunge walipitisha hio kitu haraka wakijua wanachokifanya, bomu lilitakiwa limripukie Ruto ,labda jamaa akili inaanza kutulia maana akiendelea kutoa maamuzi kwa kupanic jeshi litampindua
Mnawaza ujinga tu. Mahakama Kuu imezuia KDF kuingia mitaani, wewe unaongelea JWTZ ambao walimkatalia Chalamila kuwahusisha kwenye maandamano ya CHADEMA.Jeshi letu imara la JWTZ, makambi yote (mfano Makutopora, Ngerengere, nk), askari wangemwaga kila mtaa wa Kenya ili kufanya usafi asubuhi na kurejea mchana Dodoma kwa ajili ya lanchi.
Wala hajashtuka, nchi nzima imeukataa muswada angefanyaje?. Kwa mara ya kwanza bunge limevamiwa na Siwa kuibiwa.Jamaa kashituka bunge lilikua linataka kumtoa kafara..................wabunge walipitisha hio kitu haraka wakijua wanachokifanya, bomu lilitakiwa limripukie Ruto ,labda jamaa akili inaanza kutulia maana akiendelea kutoa maamuzi kwa kupanic jeshi litampindua
Rostam Aziz alishatumbia Mahakama za Tanzania unapiga simu moja tu wanabadilisha hukumu. Vilaza wakubwa.Woga umewajaa baada ya waandamanaji kuchoma jengo lao la mahakama ya rufaa
Wanaogopa wasiwavamie kwenye makazi Yao
Waandamanaji wamevamia jengo la bunge na kuharibu na la mahakama wakaharibu
Mahakama ya Kenya imejaa woga wajinga wakubwa
Majaji wa Tanzania chukulieni huo uamuzi wa majaji Kenya kama uamuzi wa aibu usiozingatia taaluma Wala weledi Bali woga tu
Wabunge waliupitisha ili na yeye akajimalize,,,kwa sasa kawarudishia tenaWala hajashtuka, nchi nzima imeukataa muswada angefanyaje?. Kwa mara ya kwanza bunge limevamiwa na Siwa kuibiwa.
Muwe mnasoma hata hukumu sio kuropoka. Rais hakufuata process za kisheria kutaka jeshi liingie mtaani. Au mmeumia kwa Rais kukubali kushindwa na kurudisha muswada bungeni? Wabongo bwana.Kuna maiti zaidi ya 10 hiyo mahakama yenyewe imefika mahali imeona wasipoenda soft Ile vumbi itachafua Kenya wakose pa kuendeshea vx zao kmmk wanasiasa na hizo elite group huuma na kupuliza
Hapana kashairudisha bungeni. Angekaa kimya bila kusaini ndio ingekuwa sheria. Notice ya Serikali imerudisha Muswada bungeni na Kwa Sasa muswada wa mwaka Jana ndio unaendelea.Baada ya siku ishirini na moja inakuwa sheria hata kama ajapiga saini.
Wabunge walioupitisha ni wa Ruto , ila wa Raila waliondoka na kujiunga na maandamano ya Gen Z. Lawama zote ni Kwa wabunge wa Kenya Kwanza.Wabunge waliupitisha ili na yeye akajimalize,,,kwa sasa kawarudishia tena
Ikishakua majority ndo hivyo, inahesabika ni bunge.......Wabunge walioupitisha ni wa Ruto , ila wa Raila waliondoka na kujiunga na maandamano ya Gen Z. Lawama zote ni Kwa wabunge wa Kenya Kwanza.