Unatetea mahakama zipi hizi za Tanzania ambazo mpaka Leo zimeshindwa kuamua kesi za COVID 19 au hizi za Rostam Azizi alizosema unapiga simu moja hukumu inabadilshwa. Tuache kutetea ujinga mahakama za Kenya zimetuzidi mbali.Raha ipo wapi? Wangekua na taasisi imara. Sidhani kama wangefika hapa walipo. Kilichopo kila taasisi inasema lake. Rais, Mahakama, Bunge! Utadhani serikali 3 tofauti
Failed state ni Tanzania. Inayoongozwa na mhimili mmoja basi.Kenya wako so dis organized
Hawako pamoja kwenye issue serious kama Usalama wa Taifa ukiwa hatarini
Kenya Kwa Sasa ni kama failed state hakuna mwenye power si serikali ,bunge Wala mahakama sijui wanatokaje hapo
Lakini initial stages zote za failed state zinaanza kuonekana Kenya
Waandamanaji wasio na kiongozi anayeeleweka ndio wana control nchi
Kenya imepeleka polisi Haiti a failed state kutoka Haiti itawalike Wakati huku.nyuma Kenya wenyewe wanatengeneza failed state nchi Yao ni paradox
Kama Kenya ni wahuni, je serikali ya Tanzania itakuwa ni Nini?. Kubalini Kenya Wana strong institutions sio huku Jaji Mkuu na Spika wa bunge ni machawa wa Rais.Wahuni wamejaa hapo Kenya kuanzia namba 1 mwenyewe. Hajielewi anataka nn. Unawakamua Wananchi Kodi halafu unazitumbua wewe na wa-Kalenjin wenzio
Wivu tu unakusumbua. Mmebakia kulalamika wakati Jana tu mlikuwa mnadhihaki maandamano, Rais kakubali na kuomba Radhi mmegeuka Tena kushutumu. Kwa mara ya kwanza Wakenya walisahau ukabila na kupambana pamoja. Sio huku kila mtu chawa wa mama.Ndio maana ukabila ,udini,ukanda ni mbaya sana siku yakilipuka hakuna wa kuzima
Kisheria ila kisiasa ni wa Ruto ndio maana Jana nyumba zao zimechomwa moto na biashara zao kuharibiwa.Ikishakua majority ndo hivyo, inahesabika ni bunge.......
Anataka mkuu wa Usalama wa Taifa ajiuzulu.Gachagua kalowa
Na bunge kuvamiwaKisheria ila kisiasa ni wa Ruto ndio maana Jana nyumba zao zimechomwa moto na biashara zao kuharibiwa.
Ungekuwa na akili ungetumia "uwe"ujumla uliotumia inaonesha umeongea kwa Kutumia shimo lako la nyuma lenye Ute UteMuwe mnasoma hata hukumu sio kuropoka. Rais hakufuata process za kisheria kutaka jeshi liingie mtaani. Au mmeumia kwa Rais kukubali kushindwa na kurudisha muswada bungeni? Wabongo bwana.