Hivi yale maneno ninayosikia kwenye mitandao ya kijamii... Mara, 'dash dash ni mavi ya kuku' ni kweli mzee huwa anatamka kwa kadamnasi? Kama ndivyo! Ashashindwa vibaya! Tukumbushane siku ya hukumu.