residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Alikuua wewe!!??Asiue tena...
...Ni Hayo Tu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuua wewe!!??Asiue tena...
...Ni Hayo Tu!!
Natamani kumsikia wakili wake akitoa summaryBREAKING NEWS NJOMBE.
View attachment 3189318
George Sanga na Wenzake wawili waliokuwa wanatuhumiwa kwa kesi ya mauaji wamechiwa huru na Mahakama.
Mungu ametenda haki imeshinda
Kwamba Chadema ilimtelekeza Sanga Gerezani?Wewe mwongo mkibwa. Wakili wa chama, wakati watu tumechangishwa mara kadhaa kulipia gharama za mawakili!!
Msiwe mnaropoka vitu ambavho hamna uhakika navyo.
CCM wote walaaniweBREAKING NEWS NJOMBE.
View attachment 3189318
George Sanga na Wenzake wawili waliokuwa wanatuhumiwa kwa kesi ya mauaji wamechiwa huru na Mahakama.
Mungu ametenda haki imeshinda
Alaaniwe muasisi wa utekaji na ubambikiziaji wa kesiMagufuli ni MTU dhalimu kabisa
ndiyo mumwambie aache kuua watu safari nyingine anaozea jelaKwamba Chadema ilimtelekeza Sanga Gerezani?
Wajomba fanyeni kampeni zenu lakini Mswalieni Mtume, kuna maisha baada ya Uchaguzi.
Halafu ni mgombea yupi wa Chadema ambaye hakuwa Chadema, ambaye unaweza kumuondoa kwenye lawama ikiwa George Sanga alitelekezwa Gerezani?
Amina. Na wanaondeleza matendo haya walaaniwe mileleAlaaniwe muasisi wa utekaji na ubambikiziaji wa kesi
Unajuaje? In case of uncertainty, suspend judgement.Mwamba atasifia rais samia kua ni matunda ya maridhiano, wakati hajawai kwenda hata mara moja kumsalimia huko gerezani
Wauaji halisi wangetafutwa sasa ili roho ya marehemu nayo ipumzike huko iliko.BREAKING NEWS NJOMBE.
View attachment 3189318
George Sanga na Wenzake wawili waliokuwa wanatuhumiwa kwa kesi ya mauaji wamechiwa huru na Mahakama.
Mungu ametenda haki imeshinda
Hongera sana Sanga.BREAKING NEWS NJOMBE.
View attachment 3189318
George Sanga na Wenzake wawili waliokuwa wanatuhumiwa kwa kesi ya mauaji wamechiwa huru na Mahakama.
Mungu ametenda haki imeshinda
Mbowe kama SuguMwamba atasifia rais samia kua ni matunda ya maridhiano, wakati hajawai kwenda hata mara moja kumsalimia huko gerezani
Usikute wewe ndiye muuaji.Asiue tena...
...Ni Hayo Tu!!
Ujinga na mihemko iliyoko uku mitandaoni ndiyo inayoonyesha hali halisi za akili zetu zilivyo.watu wanajiropokea tu nakufwata mikumbo.no reason kabisa.alafu unawaona wanakwambia lissu ataleta mabadiliko wakati wao wenyewe hawana mabadiliko kwenye fikra zao.Kwamba Chadema ilimtelekeza Sanga Gerezani?