pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Pamoja na uzanzibari bado ni mtanzania,Huyu Mzanzibari mbona anataka kutuharibia, wao si wana chama chao na uchaguzi umefanyika juzi tu?
Mwacheni atumie haki yake na mahakama itatoa haki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na uzanzibari bado ni mtanzania,Huyu Mzanzibari mbona anataka kutuharibia, wao si wana chama chao na uchaguzi umefanyika juzi tu?
MtanzaniaKumbe Mzanzibar ndo kashitaki?
Huhuhu tumemkosea nini?
Bora tufungiwe tu, kuliko kuukubali ushindi wenye matata.Michezo ina mahakama zake, wasijikoroge na mahakama yao kulazimisha chochote, hatutaiona simba ikicheza na kina mazembe.
Ipi hiyo mkuu?Agenda ya Mtikila hakuna anayeiendeleza ndo shida hii
Kagombea karia na kashinda ilhal wote tunajua kua karia ni msomali itakua huyo mzanzibar.naomba niulize swali hivi massawe au lyimo anaweza kugombea urais wa chama cha soka zanzibar?
kama hayana mashiko iweje mahakama wayakubaliIla Hata Madai yake Nimeyaona Hayana Hata Mashiko sana.
KARIA ni raisKaria alifanya uhuni sana kwenye mchakato ila tatizo ni wizara , BMT na Msajili pamoja na rais
anataka kuingia kwenye historia kuwa alishawahi kuipeleka tff mahakamani, zote hizo ni jitihada za kutaka kujitenga kwa kutumia kona tofautitofauti. Kifupi wazanzibar wengi hawapendi muunganoAlly Saleh nyoosha machogo hao
Haiwezekani watu woooooooote 55 ml wakose vigezo except Karia kama vile ameikodi tume ya uchaguzi tanzania ije imuengulie wagombea wote abaki peke yake,Ally Salehe ni kiongozi wa Yanga? katumwa na Yanga kusimamisha uchaguzi?! Ndio hivyo watu wamestukia uhuni wa baba yenu Karia!
Sent using Jamii Forums mobile app