M mafutamingi JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 2,773 Reaction score 2,183 Jun 29, 2021 #301 SN.BARRY said: Hayati na genge lake walikuwa ni mashetani kabisa. Click to expand... Walikuwa mashetani waliovaa ngozi ya binadamu. Mungu mkubwa. Alitufanyia kitu nzuri sana March 17, 2021!
SN.BARRY said: Hayati na genge lake walikuwa ni mashetani kabisa. Click to expand... Walikuwa mashetani waliovaa ngozi ya binadamu. Mungu mkubwa. Alitufanyia kitu nzuri sana March 17, 2021!
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Apr 16, 2022 #302 Fatma Katume akili kubwa
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Apr 16, 2022 #303 Yoda said: Fatma Katume akili kubwa Click to expand... Malinda legacy yanazidi kuaibika,tunaitaka katiba mpya ili tunyooshane Kwa haki na bilamabavu Wala Dola.
Yoda said: Fatma Katume akili kubwa Click to expand... Malinda legacy yanazidi kuaibika,tunaitaka katiba mpya ili tunyooshane Kwa haki na bilamabavu Wala Dola.
S Smiling killer JF-Expert Member Joined May 1, 2018 Posts 1,290 Reaction score 1,123 Apr 16, 2022 #304 Sikuwahi kumuona mtu katili kama magu kabla!!....
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,239 Reaction score 11,731 Apr 16, 2022 #305 Smiling killer said: Sikuwahi kumuona mtu katili kama magu kabla!!.... Click to expand... Huyo ndio maana Mungu alimuwahisha akaongoze Malaika. Alikuwa anataka akaongoze Malaika.
Smiling killer said: Sikuwahi kumuona mtu katili kama magu kabla!!.... Click to expand... Huyo ndio maana Mungu alimuwahisha akaongoze Malaika. Alikuwa anataka akaongoze Malaika.
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Apr 16, 2022 #306 Jiwe hawezi kuona ufalme wa Mungu, ataingia mpàka Basi! Jehanamu ndiyo kwake milele
MADAXWEYNE JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 1,562 Reaction score 3,380 Apr 16, 2022 #307 Msingida said: Huyo ndio maana Mungu alimuwahisha akaongoze Malaika. Alikuwa anataka akaongoze Malaika. Click to expand... Labda akaongoze malaika wa chato
Msingida said: Huyo ndio maana Mungu alimuwahisha akaongoze Malaika. Alikuwa anataka akaongoze Malaika. Click to expand... Labda akaongoze malaika wa chato