Mahakama Kuu yatengua hukumu ya kuvuliwa Uwakili dhidi ya Fatuma Karume

Mahakama Kuu yatengua hukumu ya kuvuliwa Uwakili dhidi ya Fatuma Karume

Pole sana mjane
ulijuaje kaumia!!!hata lissu alikimbia akaenda kupewa ubarozi wa kutetea mashoga na bado aliruhusu awe mgombea wa upinzani 2020.

baba yako anaweza kukufukuza kwake kisa kasikia unaliwa,na hataki laana za kipuuzi kwenye mji wake.wewe kwenda kuhifadhiwa nyumba ya jirani ni juu ya jirani mwenyewe.
usianze kujifariji kwamba baba yako ataumia.
 
Acha wivu wa kike
hao ndio wanasheria ndugu yangu.

kaka alisukumwa na askari akadai alipwe fidia bilioni moja,wakati kuna wajuba wanabembea hato matiti mpaka yameinama unadhani zimo kichwani yule!!!

kwanza kuna mshaka sana na elimu yake,sema kwa vile ndio royal family hakuna kilichoshindikana kwa yeye kuwa alipo.
 
Naona sikuhizi mahakama inanyoosha mikono kila kukicha, uonevu ulikuwa mkubwa sana.

Ila kuna huyu, Kigogo2014 na Maria Sarungi ni moto wa gesi unaochoma mioyo ya Mataga.
Hata Fatma mwenyewe hajachacha!
 
Sasa hivi Mihimili mingine imeanza kujiinua tena kutokea mavumbini. Ni muda sahihi sasa kurudi Mahakamani kufungua shauri la kupinga Halmashauri chini ya uongozi wa DEDs kusimamia chaguzi zote

Sisi Nchi tajiri sana hatushindwi kuweka key staff wa NEC Nchi nzima.
Katiba na iheshimiwe, kama kuna mianya inawapa watu aina ya Magufuli uungu utu, marekebisho ni muhimu!
 
wapambe zake walikuwa wanataka ikifika 2025 wabadili katiba wampe 7 kwa awamu mbili - ina maana jamaa angetawala hadi 2039 - Mungu akamgomea - korona ikapita kama mjumbe..!! chalii
Corona konyo kweli kweli
 
Hawa watu wa Magufuli ilifaa baada ya yeye kufa waondolewe kabisa kwenye nyadhifa zao kwa sababu ni watu wa chuki sana kwani hawatofautiani na huyo bosi wao aliyeadhibiwa na Mungu.

These people are very vindictive and hopeless.
 
One at a time....

MATAGA ubao unasoma ngapi hapo Lumumba?
 
Corona imeturejeshea Uhuru ulioporwa na dikteta mwenda zake. Mungu hutumia njia yeyote kuwaokoa watu wake pindi vilio vya watu vinapo mfikia.
[emoji1][emoji3][emoji2][emoji3][emoji1] oya nyie jamaa mnasubuliwa kulee vunja mbavu
 
Bila kupepesa macho ile mamlaka iliyoamua ku suspend uwakili wa Bi Fatma ilikengeuka sana. Jopo likikuwa chini ya Jaji Kiongozi Feleshi na wenzie. Bi Fatma alisema "Feleshi kanivua uwakili wakati nilikuwa sipo Mahakamani. Hajanipa notice ya malalamiko dhidi yangu na wala kunipa muda wa kujitetea. Pengine Siasa na si Mahakama ndio italeta mabadiliko."

Kama Jaji Kiongozi Eleazar Feleshi alivunja msingi mkubwa wa haki 'right to be heard', basi HASTAHILI kuwa msimamizi wa Mahakama Kuu, chombo kikubwa cha kutoa haki nchini.

Kama Jaji Kiongozi anakwngeuka hivyo, itakuwaje kwa Majaji walio chini yake na Mahakimu?

Kwa ajili ya kulinda heshima ya Mahakama ni bora Rais SSH ambadilishie Jaji Feleshi majukumu atuletee Jaji atakayefanya kazi kwa haki bila uwoga.
Mama afutilie mbali hiyo Feleshi. Sukumagang wahedi kabisa
 
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia muda huu kutoka Mahakamani .

Taarifa hiyo inaeleza kwamba Mahakama kuu imeona kwamba Fatuma Karume alihukumiwa bila kupewa nafasi ya kujitetea mbele ya Kamati ya maadili ya Mawakili , hivyo imetengua hukumu yake na kuitaka Kamati hiyo kumaliza jambo hilo kwa haki

Ikumbukwe kwamba Mlalamikaji kwenye hili Sakata la Wakili Msomi Fatuma Karume lililojaa chuki, Wivu na uzandiki alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali , Je unadhani bado anafaa kukalia ofisi hiyo ?

View attachment 1825533
He he he he Shangazi udumu na wale wote waliopaza sauti zao bila kuchoka kwamba Shangazi awe huru KU-PRACTICE bila masharti yoyote wabarikiweeeee.
 
Back
Top Bottom