Mahakama Kuu yatengua hukumu ya kuvuliwa Uwakili dhidi ya Fatuma Karume

Mahakama Kuu yatengua hukumu ya kuvuliwa Uwakili dhidi ya Fatuma Karume

Akili zako kama kichuguu kweli, utopolo mtupu.
Utaratibu wa sheria ni kuwa kuna mtuhumiwa, mlalamikaji, na hakimu; ndivyo sheria inavyofanya kazi. Ukituhumiwa kwa kosa, hata kama ushahidi ni kidogo sana huwezi kulalamika kuwa umekoseshwa haki zako za binadamu, utakuwa ni mtuhumiwa tu....
 
Hakika wananchi Wazalendo wa kweli hapa Jamiiforums wameongea kwa uchungu jinsi nchi yetu ilivyokuwa imepoteza mwelekeo wa kiuongozi chini ya utawala wa Awamu ya Tano uliodumu (November 2015 - March 2021) muda wa takriban miaka 5 na miezi 5.
 
Hiv alikaa 5 yrs Tu na angemaliza
Hiz 5 zingne nchi c ingekua Kama ya kina
Mu7 jaman
 
Huwa nasema wazi wazi na Leo narudia,
Mtu pori kutoka chattle mabatini alikua na ushamba na ulimbukeni wa madaraka yaani alijiona Kama hii nchi kaipatia uhuru yeye vile
Yaani sijui hata kwenye kamati Ile 2015 alipitaje pitaje mi nahisi alikwenda Gambosh kuchukua tunguri na akawaroga wajumbe
Halafu akajificha kwenye kivuli Cha
Mniombeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Utaratibu wa sheria ni kuwa kuna mtuhumiwa, mlalamikaji, na hakimu; ndivyo sheria inavyofanya kazi. Ukituhumiwa kwa kosa, hata kama ushahidi ni kidogo sana huwezi kulalamika kuwa umekoseshwa haki zako za binadamu...
Ndiyo maana jiwe akaenda kucontrol mahakama ili ziamue vile anavyotaka dhidi ya targets zake.
 
Ndiyo maana jiwe akaenda kucontrol mahakama ili ziamue vile anavyotaka dhidi ya targets zake.
Sijawahi kusikia hakimu aliyefukuzwa kazi kwa sababu alitoa maamuzi ambayo hayakumfurahisha rais; in fact kuna kesi kadhaa ambapo serikali ilishindwa mahakammni kwa kutokuwa na ushahidi wa kutosha.
 
Sijawahi kusikia hakimu aliyefukuzwa kazi kwa sababu alitoa maamuzi ambayo hayakumfurahisha rais; in fact kuna kesi kadhaa ambapo serikali ilishindwa mahakammni kwa kutokuwa na ushahidi wa kutosha.
Wengine mliishi Mars kipindi hicho, siyo rahisi kuona.
Walioumizwa ndio wanajua kilichotokea. Upande wangu sikuumizwa direct lakini mtu kama Mdude aliweza kuriport madhira aliyofanyiwa hadi mitandaoni hakuna aliyejali zaidi ya chama chake. Uonevu niliuona. Aina ya watu walioonewa ilijieleza dhahiri.
 
Fatuma anastahili kupata haki yake, lakini naye anastahili kutoa haki za watu. Alichofanyiwa ni dhulma
 
Walichoma ofisi yake,wakaona haitoshi. Wakaamua wamfungie kabisa leseni ya uwakili. Kisa hamuabudu mungu Magu. Leo yako wapi, anapambana na mafunza huko chini
 
Naona sikuhizi mahakama inanyoosha mikono kila kukicha, uonevu ulikuwa mkubwa sana.

Ila kuna huyu, Kigogo2014 na Maria Sarungi ni moto wa gesi unaochoma mioyo ya Mataga.
Kigogo2014 tangu Magufuli ameondoka amekuwa mwepesi kama mkaa wa karatasi, na yeye amebaki kupata breaking nyuzi kama siye. Sana sana amekuwa kama gazeti la udaku.
 
Wengine mliishi Mars kipindi hicho, siyo rahisi kuona.
Walioumizwa ndio wanajua kilichotokea. Upande wangu sikuumizwa direct lakini mtu kama Mdude aliweza kuriport madhira aliyofanyiwa hadi mitandaoni hakuna aliyejali zaidi ya chama chake. Uonevu niliuona. Aina ya watu walioonewa ilijieleza dhahiri.
Ulikuwa hakimu ukatoa hukumu ambayo haikuifurahisha serikali matokeo yake ukafukuzwa kazi? Ilikuwa kesi gani, kwa sababu mara tatu serikali ilishindwa mahakami, mojawapo ikiwa kesi ya pingamizi dhidi ya Mbowe na Matiko, ambapo serikali ilibwagwa; hukumu ilitolewa na mahakama ya rufaa.
 
Back
Top Bottom