Mahakama Kuu yatengua hukumu ya kuvuliwa Uwakili dhidi ya Fatuma Karume

Mahakama Kuu yatengua hukumu ya kuvuliwa Uwakili dhidi ya Fatuma Karume

Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia muda huu kutoka Mahakamani .

Taarifa inaeleza kwamba Mahakama kuu imeona kwamba Fatuma Karume alihukumiwa bila kupewa nafasi ya kujitetea mbele ya Kamati ya maadili ya Mawakili , hivyo imetengua hukumu yake na kuitaka Kamati hiyo kumaliza jambo hilo kwa haki

Ikumbukwe kwamba Mlalamikaji kwenye hili Sakata la Wakili Msomi Fatuma Karume lililojaa chuki , Wivu na uzandiki alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali , Je unadhani bado anafaa kukalia ofisi hiyo ?

View attachment 1825533
Mahakama haikutengua hukumu bali imetengua uamuzi; soma vizuri; fatuma hakuwa kuhukumiwa popote. Alikuwa anakibiliana na maamuzi ya kamati ya mawakili, na maagizo ya jaji kiongozi.

Mahakama imesema kuwa kamati iliyomvua uwakili haikuwa na mamlaka hayo, na ilikuwa inakiuka maagizo ya jaji kiongozi aliyekuwa ameshamsimamisha kwa muda Fatma Karume. Mahakama kuu imefuta uamuzi wa kamati hiyo ya mawakili, lakini maagazo ya jaji kiongozi bado yako pale pale. Fatma hawezi kuwa wakili mpaka akajitetee mahakamani kuhusu agizo hilo la Jaji kiongozi.
 
Huko aliko malaika watakuwa wanapata tabu sana...
Hawa hapa walitakiwa wakaishi na mwendazake huko alipotorokea

1.Makonda
2.Ndugai
3.Sabaya
4.Jecha
5____________
6____________
7____________
8____________
9____________
10___________
 
Mahakama haikutengua hukumu bali imetengua uamuzi; soma vizuri; fatuma hakuwa kuhukumiwa popote. Alikuwa anakibiliana na maamuzi ya kamati ya mawakili, na maagizo ya jaji kiongozi.

Mahakama imesema kuwa kamati iliyomvua uwakili haikuwa na mamlaka hayo, na ilikuwa inakiuka maagizo ya jaji kiongozi aliyekuwa ameshamsimamisha kwa muda Fatma Karume. Mahakama kuu imefuta uamuzi wa kamati hiyo ya mawakili, lakini maagazo ya jaji kiongozi bado yako pale pale. Fatma hawezi kuwa wakili mpaka akajitetee mahakamani kuhusu agizo hilo la Jaji kiongozi.
Mimi nimeelewa ila labda nimeeleweka vibaya kwenye uwasilishaji taarifa
 
Hakukwa hata na sababu ya kuzuia vyama vingi miaka ya 1960.Siasa za vyama vingi na demokrasia yetu kwa ujumla vinachechemea hadi leo kwa maamuzi hayo mabovu sana.
Kusema ukweli hata 1992 tulivyobadili mfumo kukubali vyama vingi ilikuwa kama sijaamini jinsi zoezi lile lilivyotokea kwa haraka sana, bila kulazimishwa sana na watu.

Yani ilikuwa watu wenyewe wamesema mfumo wa chama kimoja poa tu, Nyerere akasema twende na vyama vingi, sababu za kuzuia vyama vingi zilizokuwapo miaka ya 1960s hazipo tena, tukabadili.

Baadaye nikaja kusoma Nyerere alivyokataza vyama vingi miaka ya 1960s, nikaelewa vizuri zaidi kwa nini alisema vile.

Alikuwa kashaona Romania huko walivyomuondoa Nikolai Causescu, akaona bora CCM ikubali mabadiliko na kuya control, yakija kwa nguvu za wananchi, nchi inaweza kuwa haitawaliki by then.
 
FB_IMG_1624306673005.jpg
 
Hakukwa hata na sababu ya kuzuia vyama vingi miaka ya 1960.Siasa za vyama vingi na demokrasia yetu kwa ujumla vinachechemea hadi leo kwa maamuzi hayo mabovu sana.
Ukisoma kitabu cha Paul Bjerk hiki hapa chini utaona jinsi gani Nyerere alivyopata upinzani mkali miaka ya mwanzo ya sitini, mpaka kupelekea kupiga marufuku vyama vingi.

"Building a Peaceful Nation: Julius Nyerere and the Establishment of Sovereignty in Tanzania, 1960–1964" by Paul Bjerk. Rochester, NY: University of Rochester Press

Attachments

Ni kukosa elimu ya kufahamu katiba ni nini na inachukua nafasi gani kwenye maisha yetu.

Matatizo yote tuliyonayo mpaka mifumo yote, sababu kubwa ni katiba
Matatizo yetu tuliyonayo yanaletwa na sisi wenyewe!

Hakuna mifumo bila watu! Hakuna katiba bila watu.

Tunawaogopa mno viongozi wetu kana kwamba sisi ndo watumishi wao na wao si watumishi wetu!

Ukiona jinsi Rais wetu [wa awamu yoyote ile] anavyoimbiwa na kupambwa kila aina ya sifa, utashangaa!

Majuzi tu hapa Rais Samia kasema kuwa ‘Rais huwa hakosei’.

Natumaini ulimi wake uliteleza tu na si kitu anachokiamini moyoni.

Leo hii hata akivunja katiba, nani atamuwajibisha?
 
Hebu tulia ww mfuasi wa dhalimu. Naona umekuwa bendera fuata upepo baada ya ibilisi kuelekea motoni. Kmmayo.

Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia muda huu kutoka Mahakamani .

Taarifa hiyo inaeleza kwamba Mahakama kuu imeona kwamba Fatuma Karume alihukumiwa bila kupewa nafasi ya kujitetea mbele ya Kamati ya maadili ya Mawakili , hivyo imetengua hukumu yake na kuitaka Kamati hiyo kumaliza jambo hilo kwa haki

Ikumbukwe kwamba Mlalamikaji kwenye hili Sakata la Wakili Msomi Fatuma Karume lililojaa chuki , Wivu na uzandiki alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali , Je unadhani bado anafaa kukalia ofisi hiyo ?

View attachment 1825533
Shetani si keshakufa?
 
iyo katiba itakusaidia nini kwa sasa

nchi inahitaji mambo mengi zaidi ya katiba mpya
Kama kweli hujui umuhimu wa katiba ni bora uulize.(nahisi ni kweli hujui)
Hayo mambo mengi yasipolindwa na katiba ni sawa na kucheza bahati nasibu.
 
ulisema unakaribia kutoa avatar ya bimkubwa maana kachagua madc wasiofaa.
No haitatokea nitoe hiyo avatar yake. Mimi sioni Shida ya DCs alioteua. Ndiyo chaguo lake naliheshimu.
 
Kusema ukweli hata 1992 tulivyobadili mfumo kukubali vyama vingi ilikuwa kama sijaamini jinsi zoezi lile lilivyotokea kwa haraka sana, bila kulazimishwa sana na watu.

Yani ilikuwa watu wenyewe wamesema mfumo wa chama kimoja poa tu, Nyerere akasema twende na vyama vingi, sababu za kuzuia vyama vingi zilizokuwapo miaka ya 1960s hazipo tena, tukabadili.

Baadaye nikaja kusoma Nyerere alivyokataza vyama vingi miaka ya 1960s, nikaelewa vizuri zaidi kwa nini alisema vile.

Alikuwa kashaona Romania huko walivyomuondoa Nikolai Causescu, akaona bora CCM ikubali mabadiliko na kuya control, yakija kwa nguvu za wananchi, nchi inaweza kuwa haitawaliki by then.
Lakini kuna nchi zilibaki na chama kimoja na life presidents mpaka miaka ya karibuni na wananchi hawakuwaondoa.

Kwa jinsi waTz tulivyo nafikiri hakuhofia hilo kwa asilimia kubwa ila ilibidi kukubali vyama vingi kwaajili ya matakwa ya Structural Adjustment Programs.
 
Nakumbuka Magu akiwa mgeni rasmi kwenye ile siku ya sheria duniani,alitamka na kuwaamuru majaji kuwa zipo hela nyingi mmezikalia mahakamani za mafisadi na wakwepa kodi amueni haraka hizo kesi ili hizo hela niwape ninyi majaji zisaidie kwenye budget yenu ya mahakama,sasa hapo unategemea nn/ Aisee Mungu fundi aliona tunakoelekea ni kubaya sana kama nchi,Mungu aliamua kula kichwa bila kumwaga damu duhhhh
Hizi ni dalili njema sana. Pongezi zangu zimfikie Mama.

Pia ninaimani hata Mdude atarudi kitaa wiki ijayo. Mahakama ilitumika vibaya haikuwa ni muhimili unaojitegemea.
 
Back
Top Bottom