Mahakama Kuu yatengua hukumu ya kuvuliwa Uwakili dhidi ya Fatuma Karume

Mahakama Kuu yatengua hukumu ya kuvuliwa Uwakili dhidi ya Fatuma Karume

Huu ndio wakati wa kupeleka mahakamani sheria zote kandamizi mahakamani zitenguliwe mara moja. Sio wabunge wanademka denka na kupitisha sheria zinazopingana na Katiba hovyo kabisa. Mwanasheria wa serikali laizima aondolewe madarakani, Rais please please ondoa huyu mtu.
 
Kwani nasema uongo ndugu zangu?
Sasa unataka Hadi maiti yake ifukuliwe? Mtu akishafariki hata awe mbaya namna gani tunampa heshima yake ya maiti,Mimi Ni mkristo, katika Mit 16:4 "Bwana amefanya Kila kitu kwa kusudi lake,Naam hata wabaya kwa siku ya ubaya"
 
Sasa hivi Mihimili mingine imeanza kujiinua tena kutokea mavumbini. Ni muda sahihi sasa kurudi Mahakamani kufungua shauri la kupinga Halmashauri chini ya uongozi wa DEDs kusimamia chaguzi zote

Sisi Nchi tajiri sana hatushindwi kuweka key staff wa NEC Nchi nzima.
KEY STAFF wa NEC nchi nzima halafu baada ya uchaguzi watakua wanafanya kazi gani? unataka walipwe mishahara ya bure.
 
ninyi huko ufipa mnaifuata katiba?
katiba ya saccoss hamuifuati ya nchi mtaweza?
Ni mpumbavu pekee na kilaza kama mwendazake anayeweza kufikiri kuwa katiba mpya inadaiwa na upinzani pekee.
Kwa taarifa yako,wapo wafia CCM - seniors wengi sana ambao wanatamani na wanapigania ujio wa katiba mpya.
 
Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia muda huu kutoka Mahakamani .

Taarifa hiyo inaeleza kwamba Mahakama kuu imeona kwamba Fatuma Karume alihukumiwa bila kupewa nafasi ya kujitetea mbele ya Kamati ya maadili ya Mawakili , hivyo imetengua hukumu yake na kuitaka Kamati hiyo kumaliza jambo hilo kwa haki

Ikumbukwe kwamba Mlalamikaji kwenye hili Sakata la Wakili Msomi Fatuma Karume lililojaa chuki, Wivu na uzandiki alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali , Je unadhani bado anafaa kukalia ofisi hiyo ?

View attachment 1825533
Yes. Justice will always take its right course. The punishment was personally and politically motivated. Bravo Fatuma.
 
KEY STAFF wa NEC nchi nzima halafu baada ya uchaguzi watakua wanafanya kazi gani? unataka walipwe mishahara ya bure.
Tumesema key staff. Wengine wanakuwa hired temporarily as per needs. Hizo ndizo gharama za demokrasia

Mbona tumejaza staff wa TAKUKURU Nchi nzima na wengi wao hawaproduce chochote?
 
Back
Top Bottom