Mahakama Kuu yatoa uamuzi - Rais hakuvunja katiba kuongeza muda wa Jaji Prof. Juma kuendelea kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania

kizazi cha BBC, "Born Before Computer"
Umetumia maneno machache kuwakilisha changamoto lakini mazito sana. Mamlaka za Teuzi kwa ajili ya kuleta mabadiliko chanya yenye mguso, hili nalo wakaliangalie.
 
Huyo judge aliyetoa hukumu aliteuliwa na nani?
 
HAKUA JAJI WA KUTOA HUKUMU YA KUMPINGA SAMIA, WE HAVE BUNCHES OF SHYSTER JUDGES!
Kama wewe usivyo weza kuhoji anachosema au kufanya Gaidi Mbowe AKA Mwamba
 
Ilishafahamika huku ingekuwaje hii Tz
 
Mifano yangu ni michache tu katika kuelezea jambo hili;

Hakuna mtu anaweza kuung'ata mkono unao mlisha.​

Hakuna mtu anaweza kukata tawi la mti alilokalia​
 
Kwani CHADEMA ndio walifungua kesi?. Halafu Tanzania hatuna majaji, jua hivyo. Mtu anaokotwa from anywhere anapewa ujaji. Zamani ujaji ulikuwa unapata kutoka kwenye utumishi wa mahakama. Siku hizi inabebwa tu mtaani unapewa ujaji.
Unabisha na hilo mkuu- ukipenda single mother penda na watoto wake na hata ikibidi na ex husband
 
Nothing new, hakuna hukuma ya kwenda kinyume na serikali hasa kua against na aliewateua!!
 

Pia waziri leo 13 September 2023 , ameipongeza OWMS kwa kulinda haki na maslahi ya Serikali yasipokonywe ndani na nje ya nchi kwa kushinda kesi ambazo Serikali ilikuwa na haki na kuwa mabingwa katika kutetea vyema Serikali.
Vile mnavyoitetea Serikali na kushinda kwenye kesi zile ambazo Serikali ilikuwa na haki zile fedha ndiyo zinasaidia kuleta maendeleo ambapo tunajenga barabara, vituo vya afya, n.k. Ofisi hii ni muhimu ndiyo maana imekuwa Ofisi maalum. Ofisi hii ya Wakili wa Serikali kama vile tunavyofahamu wale Mawakili wengine wanalinda na kutetea maslahi iwe ni ya taasisi au ya mtu mmoja, sasa yeye ni Wakili Mkuu wa Serikali,” amesisitiza Balozi Dkt. Pindi Chana
 
Hivi unapoulizwa swali ambalo jibu lake liko wazi halafu ukajibu Cha ajabu no nani anayeonekana bwege? Yaani wote tunajua kuwa 2+2=4 halafu mahakakama inasema tofauti ni nani aliyepoteza? Leo hii hata Mimi nimeamini kuwa Mahakama zetu no za hovyo. Sasa wananchi tuna kila Sababu ya kuziendea Mahakama za umma. Maandano!
 
Endelea kunywa wanzuki
Bado kitambo kidogo
Umefuatilia UN General Assembly recently?
Ngoja nikusaidie’ …stop lecturing us..the use of military intervention is…. Says Guinea’s Junta Leader’
Upuuzi
 
16 April 2024
Dar es Salaam, Tanzania

Upungufu wa majaji wa Mahakama Kuu na wa ngazi ya Rufaa Tanzania

Willy Mutunga and Ex-Chief Justice of Tanzania Mohamed Chande Othman Share Experience on Law

View: https://m.youtube.com/watch?v=MJSFhZsV01Y Jaji mkuu mstaafu Chande asema kuna upungufu mkubwa wa majaji ngazi ya mahakama kuu, kiasi jaji mmoja anapangiwa kesi 300 kwa mwaka.

Pia anaogeza jaji mkuu mstaafu Chande Othman kuwa ngazi ya Mahakama ya Rufaa jaji wanapangiwa kesi 900 kila mwaka


Jaji mstaafu anasema wingi wa kesi humfanya jaji kuharakisha, kukosa kumbukumbu na ufanisi pia wa kazi kushuka.

Justice Mohamed Chande Othman anatoa mfano huko Afrika ya Kusini na Marekani ya Kaskazini jaji wa Mahakama Kuu husikiliza kesi 50 kwa mwaka kutokana na kuwepo idadi ya kutosha ya majaji katika nchi hizo tofauti na Tanzania kulipo na idadi kubwa ya kesi zinazo kwaelemea majaji ngazi ya Mahakama Kuu na ile ya Rufaa Tanzania

 
Kutoa hukumu inayomuadhibu mtu aliyekuteua ni almost haiwezekani..!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…