Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Yes Rost tam aliongea ukweli woteTukumbuke maneno ya ndugu Rostam Aziz kuhusu mahakama zetu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes Rost tam aliongea ukweli woteTukumbuke maneno ya ndugu Rostam Aziz kuhusu mahakama zetu!
Umetumia maneno machache kuwakilisha changamoto lakini mazito sana. Mamlaka za Teuzi kwa ajili ya kuleta mabadiliko chanya yenye mguso, hili nalo wakaliangalie.kizazi cha BBC, "Born Before Computer"
Huyo judge aliyetoa hukumu aliteuliwa na nani?22 September 2023
Masijala ya Mahakama Kuu
Dar es Salaam
Kesi namba 7 ya 2023 ya Humphrey Simon Malenga dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali leo imetolewa hukumu yake .
Humphrey Simon Malenga alifungua kesi, ili Mahakama Kuu itafsiri kama rais alivunja katiba au la kwa muuongezea muda wa kubaki ofisini baada ya jaji mkuu Profesa Ibrahimu Juma kufikisha muda wa kustaafu wa miaka 65.
Katika hukumu hiyo ya kurasa 33 Mahakama Kuu imejiridhisha kuwa mheshimiwa rais hakuvunja katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kumuongezea jaji wa mahakama ya rufaa ambaye ni jaji mkuu Professor Ibrahimu Juma kuendelea kubaki ofisini
Jaji G.N.Isaya amesema nafasi ya kukata rufaa ipo dhidi ya hukumu iliyotolewa leo ya kutupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Humphrey Simon Malenga.
......
Soma hukumu nzima source :
Having determined the issues above, I find the petition without
merit. It stands dismissed. No order as to costs.
Order accordingly. (
signed
G.N.Isaya
Judge
22.09.2023.
Court: Judgment delivered in open court this 22nd day of September, 2023 in the presence of Mr. Ipilinga Panya and Aliko Harry Mwamanenge,
Learned Advocates for the petitioner. Ms. Victoria Lugndo, State Attorney, for the Respondent, Ms. Catherine Shenkunde (B/C), and Hon. Chilemba
Chikawe (JLA). /
G.N.Isaya
Judge
22.09.2023
Right of Appeal fully explained. /
G.N.Isaya Judge
22.09.2023
Page 33 of 33
Humphrey Simon Malenga versus The Hon. Attorney Genaral (MISCELLANEOUS CIVIL CAUSE NO. 07 OF 2023) [2023] TZHC 7 (22 September 2023)
Pia soma: Mwanasheria afungua kesi kupinga Jaji Mkuu kubaki kazini baada ya muda wa kustaafu kupita
Akisema ni baba yako unaenda kubadili cheti cha kuzaliwaRostam Azizi Ki amesha tufungua maskio.
Sasa tunaelewa kila kitu.
Kama wewe usivyo weza kuhoji anachosema au kufanya Gaidi Mbowe AKA MwambaHAKUA JAJI WA KUTOA HUKUMU YA KUMPINGA SAMIA, WE HAVE BUNCHES OF SHYSTER JUDGES!
Uaniwaza Sana CHADEMA hata kwenye mambo ambayo sio ya kisiasa.Mnaendaga Mahakamani kufanya nini Sasa 😁😁
Chadema kama Mwambukusi Chali 🤣🤣🤣🤣
Ilishafahamika huku ingekuwaje hii Tz22 September 2023
Masijala ya Mahakama Kuu
Dar es Salaam
Kesi namba 7 ya 2023 ya Humphrey Simon Malenga dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali leo imetolewa hukumu yake .
Humphrey Simon Malenga alifungua kesi, ili Mahakama Kuu itafsiri kama rais alivunja katiba au la kwa muuongezea muda wa kubaki ofisini baada ya jaji mkuu Profesa Ibrahimu Juma kufikisha muda wa kustaafu wa miaka 65.
Katika hukumu hiyo ya kurasa 33 Mahakama Kuu imejiridhisha kuwa mheshimiwa rais hakuvunja katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kumuongezea jaji wa mahakama ya rufaa ambaye ni jaji mkuu Professor Ibrahimu Juma kuendelea kubaki ofisini
Jaji G.N.Isaya amesema nafasi ya kukata rufaa ipo dhidi ya hukumu iliyotolewa leo ya kutupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Humphrey Simon Malenga.
......
Soma hukumu nzima source :
Having determined the issues above, I find the petition without
merit. It stands dismissed. No order as to costs.
Order accordingly. (
signed
G.N.Isaya
Judge
22.09.2023.
Court: Judgment delivered in open court this 22nd day of September, 2023 in the presence of Mr. Ipilinga Panya and Aliko Harry Mwamanenge,
Learned Advocates for the petitioner. Ms. Victoria Lugndo, State Attorney, for the Respondent, Ms. Catherine Shenkunde (B/C), and Hon. Chilemba
Chikawe (JLA). /
G.N.Isaya
Judge
22.09.2023
Right of Appeal fully explained. /
G.N.Isaya Judge
22.09.2023
Page 33 of 33
Humphrey Simon Malenga versus The Hon. Attorney Genaral (MISCELLANEOUS CIVIL CAUSE NO. 07 OF 2023) [2023] TZHC 7 (22 September 2023)
Pia soma: Mwanasheria afungua kesi kupinga Jaji Mkuu kubaki kazini baada ya muda wa kustaafu kupita
Unabisha na hilo mkuu- ukipenda single mother penda na watoto wake na hata ikibidi na ex husbandKwani CHADEMA ndio walifungua kesi?. Halafu Tanzania hatuna majaji, jua hivyo. Mtu anaokotwa from anywhere anapewa ujaji. Zamani ujaji ulikuwa unapata kutoka kwenye utumishi wa mahakama. Siku hizi inabebwa tu mtaani unapewa ujaji.
Nothing new, hakuna hukuma ya kwenda kinyume na serikali hasa kua against na aliewateua!!22 September 2023
Masijala ya Mahakama Kuu
Dar es Salaam
Kesi namba 7 ya 2023 ya Humphrey Simon Malenga dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali leo imetolewa hukumu yake .
Humphrey Simon Malenga alifungua kesi, ili Mahakama Kuu itafsiri kama rais alivunja katiba au la kwa muuongezea muda wa kubaki ofisini baada ya jaji mkuu Profesa Ibrahimu Juma kufikisha muda wa kustaafu wa miaka 65.
Katika hukumu hiyo ya kurasa 33 Mahakama Kuu imejiridhisha kuwa mheshimiwa rais hakuvunja katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kumuongezea jaji wa mahakama ya rufaa ambaye ni jaji mkuu Professor Ibrahimu Juma kuendelea kubaki ofisini
Jaji G.N.Isaya amesema nafasi ya kukata rufaa ipo dhidi ya hukumu iliyotolewa leo ya kutupilia mbali kesi iliyofunguliwa na Humphrey Simon Malenga.
......
Soma hukumu nzima source :
Having determined the issues above, I find the petition without
merit. It stands dismissed. No order as to costs.
Order accordingly. (
signed
G.N.Isaya
Judge
22.09.2023.
Court: Judgment delivered in open court this 22nd day of September, 2023 in the presence of Mr. Ipilinga Panya and Aliko Harry Mwamanenge,
Learned Advocates for the petitioner. Ms. Victoria Lugndo, State Attorney, for the Respondent, Ms. Catherine Shenkunde (B/C), and Hon. Chilemba
Chikawe (JLA). /
G.N.Isaya
Judge
22.09.2023
Right of Appeal fully explained. /
G.N.Isaya Judge
22.09.2023
Page 33 of 33
Humphrey Simon Malenga versus The Hon. Attorney Genaral (MISCELLANEOUS CIVIL CAUSE NO. 07 OF 2023) [2023] TZHC 7 (22 September 2023)
Pia soma: Mwanasheria afungua kesi kupinga Jaji Mkuu kubaki kazini baada ya muda wa kustaafu kupita
Kwa maana nyingine Raisi Ndio KATIBAKuna mtu aliwaza kuwa hao majaji walioteuliwa na Rais Kwa kupendekezwa na jaji mkuu wangeamua kinyume na hili.
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
UpuuziEndelea kunywa wanzuki
Bado kitambo kidogo
Umefuatilia UN General Assembly recently?
Ngoja nikusaidie’ …stop lecturing us..the use of military intervention is…. Says Guinea’s Junta Leader’
Jaji mkuu mstaafu Chande asema kuna upungufu mkubwa wa majaji ngazi ya mahakama kuu, kiasi jaji mmoja anapangiwa kesi 300 kwa mwaka.Former Chief Justice of Kenya Willy Mutunga an alumni of UDSM and the Former Chief Justice of Tanzania Mohamed Chande Othman shares experience during the launch of the Tanzania Yearbook of Public Law 2022 at the Serena hotel in Dar es Salaam on April 16,2024.
Mohamed Chande Othman
Former Chief Justice of Tanzania
![]()
Justice Mohamed Chande Othman is a former Chief Justice of Tanzania (2011-2016), a position held after having been a Judge of the High Court and later a Justice of Appeal with the Court of Appeal, Tanzania’s Apex Court. He currently serves as Eminent Person appointed by the UN Secretary General and charged with the examination of new information relating to the tragic death on 17-18th September, 1961 of the 2nd United Nations Secretary-General, Dag Hammarskjöld and other members of his party.
He is also Chairman of the Council, Sokoine University of Agriculture and Applied Sciences (SUA), Tanzania’s third largest public University; a member of the Board of Trustees of the Aga Khan University; a member of the Elders Council of the African Judges and Jurists Forum (AJJF); and a member of the Africa Group for Justice and Accountability (AGJA) – a Pan-African independent group of legal experts on International Humanitarian Law and Human Rights.
Justice Othman’s has served in various other capacities internationally, including as Chief of Prosecutions of the International Criminal Tribunal for Rwanda (ICTR); and as United Nations Human Rights Council‘s Independent Expert on the human rights situation in the Sudan
Kutoa hukumu inayomuadhibu mtu aliyekuteua ni almost haiwezekani..!!!22 September 2023