Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ndiyo mjue kuwa hapa hakuna mahakama ni matawi ya CCMLeo tarehe 28.01.2022 Mahakama Kuu ya Tanzania chini ya majaji watatu wakiongozwa na Jaji Mgeta, imetupilia mbali kesi ya kikatiba Na 2 ya 2022 iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi, Francis Mbatia dhidi ya aliyekuwa Spika wa bunge, Job Ndugai...
Mbatia alikuwa anapoteza mudaIlikua obvious
Ndiyo ujue kuna maigizo tupuKilichotokea sasa ni kuwa bunge limefuta taarifa zote kwa umma zilizokuwa katika tovuti yake parliament.go.tz zikionesha taarifa ya umma kutoka kwa Ndugai na taarifa kwa umma kutoka kwa Katibu wa Bunge zote zikionesha kuwa kilichowasilishwa bungeni ni nakala. Kwa sasa tovuti ya bunge ina barua ya kuwaita wabunge tu ila zile taarifa kwa umma wamezifuta. Pia kwenye ukurasa wao wa twitter wamefuta tweets hizo zilizokua na taarifa kwa umma.🤣🤣
CCM ipo juu ya mamlaka zoteTulimwambia Mbatia akatuona hatufai, Hakuna kesi ya kikatiba ambayo ilishawahi kupenya - Angechungulia kesi zote za kikatiba za Maheremu Mtikila kama zilishawahi kupenya.
CCM ishachagua Spika tayari afu eti mtu agomeshe Jobo kuachia ngazi wakati kashasema ati nchi itapigwa mnada - hiiiii.
Nchi hii inahitaji maombezi maalum!Kilichotokea sasa ni kuwa bunge limefuta taarifa zote kwa umma zilizokuwa katika tovuti yake parliament.go.tz zikionesha taarifa ya umma kutoka kwa Ndugai na taarifa kwa umma kutoka kwa Katibu wa Bunge zote zikionesha kuwa kilichowasilishwa bungeni ni nakala. Kwa sasa tovuti ya bunge ina barua ya kuwaita wabunge tu ila zile taarifa kwa umma wamezifuta. Pia kwenye ukurasa wao wa twitter wamefuta tweets hizo zilizokua na taarifa kwa umma.🤣🤣
Katibu wa Bunge amewekwa mfukoni hastahili nafasi hiyo!Kilichotokea sasa ni kuwa bunge limefuta taarifa zote kwa umma zilizokuwa katika tovuti yake parliament.go.tz zikionesha taarifa ya umma kutoka kwa Ndugai na taarifa kwa umma kutoka kwa Katibu wa Bunge zote zikionesha kuwa kilichowasilishwa bungeni ni nakala. Kwa sasa tovuti ya bunge ina barua ya kuwaita wabunge tu ila zile taarifa kwa umma wamezifuta. Pia kwenye ukurasa wao wa twitter wamefuta tweets hizo zilizokua na taarifa kwa umma.🤣🤣
Kama ni habari za story tu za mtaani sawa. Hizo tunazijua. Uliposema uliona barua ndiyo nikaona mwenzetu ulienda mbali umeona na barua hiyo kwa macho yako! Kumbe nawe ni mwenzangu tu wa story. Next time try to remain precisely on what you have seen.Uzembe wako wa kutofuatilia story usituambukize!
Tulimwambia Mbatia akatuona hatufai, Hakuna kesi ya kikatiba ambayo ilishawahi kupenya - Angechungulia kesi zote za kikatiba za Maheremu Mtikila kama zilishawahi kupenya.
CCM ishachagua Spika tayari afu eti mtu agomeshe Jobo kuachia ngazi wakati kashasema ati nchi itapigwa mnada - hiiiii.
Hatuna mahakama Tanzania, Kama Mbowe gaidi unafikiria nini
Yanii hii kesi naiona nyepesi sana ata kama hujui sheria ila hapa majaji wamechemka vibaya mno! Akate rufaa tu labdaLeo tarehe 28.01.2022 Mahakama Kuu ya Tanzania chini ya majaji watatu wakiongozwa na Jaji Mgeta, imetupilia mbali kesi ya kikatiba Na 2 ya 2022 iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi, Francis Mbatia dhidi ya aliyekuwa Spika wa bunge, Job Ndugai...
Hata mimi nimeishangaa hii barua. Au walibadili gia angani ili kunlfunika kombe mwanaharam apite?
Katibu wa bunge alipohojiwa alisema yeye hajaandikiwa barua bali amepata nakala ya barua ya spika kwenda kwa katibu mkuu wa chama chake kwa ajili ya kujiengua katika nafasi hiyo.