Kaka usiseme kesi za mtikila hazikuwahi kupenya, amesaidia sana mabadiliko ya sheria nyingi sana nchini kwa mfano sheria ya kuweka watu kizuizini,sheria ya kuzuia mikutano ya kisiasa nk sheria nyingi sana.Tulimwambia Mbatia akatuona hatufai, Hakuna kesi ya kikatiba ambayo ilishawahi kupenya - Angechungulia kesi zote za kikatiba za Maheremu Mtikila kama zilishawahi kupenya...
Haki ya vyama vyote vya siasa kutumia bure chombo cha habari cha serikali yaani TBC ilipatikana baada ya Mtikila kushinda kesi. Haki hii kutoka mwaka 2015 ni kama haipo tena, inabidi kuzimuliwa, idaiwe upya.Kaka usiseme kesi za mtikila hazikuwahi kupenya, amesaidia sana mabadiliko ya sheria nyingi sana nchini kwa mfano sheria ya kuweka watu kizuizini,sheria ya kuzuia mikutano ya kisiasa nk sheria nyingi sana...
Mkuu Mbatia amefanya jambo jema sana. Na ukitaka kujua alichofanya Mbatia kina mashiko wewe angalia tovuti ya bunge na ukurasa wa twitter wa bunge wamefuta taarifa zao za kujiuzuru Ndugai.Wame tengeneza barua halisi inayokidhi matakwa ya katiba kuepuka kudhalilika
Maana katiba ipo wazi kabisa.
Mbatia atajua hajui!Leo tarehe 28.01.2022 Mahakama Kuu ya Tanzania chini ya majaji watatu wakiongozwa na Jaji Mgeta, imetupilia mbali kesi ya kikatiba Na 2 ya 2022 iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi, Francis Mbatia dhidi ya aliyekuwa Spika wa bunge, Job Ndugai....
Mpumbavu!Kama ni habari za story tu za mtaani sawa. Hizo tunazijua. Uliposema uliona barua ndiyo nikaona mwenzetu ulienda mbali umeona na barua hiyo kwa macho yako! Kumbe nawe ni mwenzangu tu wa story. Next time try to remain precisely on what you have seen.
Mkuu wamekupiga chenga ya mwili?Mpumbavu!
Bila shaka sasa hivi wamegundua kuwa si Watanzania wote ni vilaza kama wao, na hawatarudia tena ujinga wao huo!Yaani unaenda mahakamani na circumstantial evidence; watu si wanaandika tu hiyo barua yaishe.
Muhimu hapa ilikuwa ni kuokoa muda wa mahakama, yaani kuna watu wanataka kuzigeuza playground zao wakikosa njia za kutumia wao productively.
Hajabwagwa bali Jamuhuri imejifanya yenyewe na kujinusa!Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imesema aliyekua Spika wa Bunge, Job Ndugai alifuata taratibu za kujiuzulu kwake kwa kuandika barua kwa Katibu wa Bunge hivyo ombi la kupinga utaratibu wa kujiuzulu kwake halina mashiko, namahakama imetupilia mbali maombi ya muomba shauri la mgogoro wa kikatiba Bw.James Mbatia.
Mwambie akashitaki kwa mama Tzn ππππ
Kilichotokea sasa ni kuwa bunge limefuta taarifa zote kwa umma zilizokuwa katika tovuti yake parliament.go.tz zikionesha taarifa ya umma kutoka kwa Ndugai na taarifa kwa umma kutoka kwa Katibu wa Bunge zote zikionesha kuwa kilichowasilishwa bungeni ni nakala. Kwa sasa tovuti ya bunge ina barua ya kuwaita wabunge tu ila zile taarifa kwa umma wamezifuta. Pia kwenye ukurasa wao wa twitter wamefuta tweets hizo zilizokua na taarifa kwa umma.π€£π€£
Leo tarehe 28.01.2022 Mahakama Kuu ya Tanzania chini ya majaji watatu wakiongozwa na Jaji Mgeta, imetupilia mbali kesi ya kikatiba Na 2 ya 2022 iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi, Francis Mbatia dhidi ya aliyekuwa Spika wa bunge, Job Ndugai.
Mahakama imeeleza kuwa kesi hiyo haina mashiko kwa kuwa hakuna ukiukwaji wa Katiba uliofanywa. Mahakama imetambua barua iliyotolewa mahakamani na Wakili mkuu wa Serikali kuonesha kuwa Ndugai aliandika barua ya kujiuzulu kwenda kwa Katibu wa Bunge na nakala kwa Katibu Mkuu wa CCM ni halali na hivyo alifuata taratibu zote.
Nakala ya barua iliyotambuliwa na Mahakama ni hii hapa.
Pia soma
- James Mbatia amkingia kifua Spika Ndugai, kwenda mahakamani kuzuia mchakato wa kutafuta Spika mpya (07/01/2022)
- Ndugai amefuata utaratibu wa kujiuzulu Uspika kwa mujibu wa Katiba. Mbatia hayupo sahihi na kesi yake haina mashiko (08/01/2022)
- Kutoka Mahakama Kuu: Kesi ya James Mbatia kupinga mchakato wa Job Ndugai kujiuzulu Uspika (27/01/2022)
TLS haitoi shahada ya sheria kwakua sio taasisi ya elimu.Kaka usiseme kesi za mtikila hazikuwahi kupenya, amesaidia sana mabadiliko ya sheria nyingi sana nchini kwa mfano sheria ya kuweka watu kizuizini,sheria ya kuzuia mikutano ya kisiasa nk sheria nyingi sana...