Gwappo Mwakatobe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,730
- 2,230
Vyovyote vile, kuna tija gani ya Ndugai kubaki spika? Tunataka katiba mpya na bora, siyo hii mbovu!Nafikiri una kitu cha kujifunza zaidi! Soma hizi nakala then rudi tena utuambue ilikuwa sawa? Hii barua imendikwa tu katikati hapa baada ya kuona wataumbuka ila barua aliandikiwa katibu wa CCM na sio Katibu wa Bunge na mpaka Katibu wa Bunge alitoka kueleza kuwa anasubiri Katibu Mkuu wa Chama amjulishe ndo atasema kitu na barua zipo! Na ndiyo maana ata wameamua kufuta kwenye website zao za bunge na page social mediaView attachment 2098606View attachment 2098608View attachment 2098609
Umeeleza kwa usahihi kabisa - kongole!K3si Dhaifu na isiyo na maslahi yeyote kwa umma
Ndugai alishaachia ngazi na Chama chake yaani CCM pamoja na Bunge vimeridhi...
Ile haikuwa barua bali TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIHiyo barua ilifichwa wapi? Tulioonyeshwa ni barua kutoka kwa Ndugai kwenda kwa katibu mkuu wa CCM nakala kwa katibu wa Bunge!
Sawa, lakini pia katibu wa Bunge alikiri kupokea nakala ya barua aliyoandikiwa katibu mkuu wa CCM na Ndugai. Aidha katibu mkuu wa CCM alimwandikia barua katibu wa Bunge kuhusu kujiuzulu kwa Ndugai!Ile haikuwa barua bali TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Nafikiri barua halisi umeiona. Tujadili ishu zingineSawa, lakini pia katibu wa Bunge alikiri kupokea nakala ya barua aliyoandikiwa katibu mkuu wa CCM na Ndugai. Aidha katibu mkuu wa CCM alimwandikia barua katibu wa Bunge kuhusu kujiuzulu kwa Ndugai!
Huoni kuwa kuna barua ya kificho iliyoandikwa na Ndugai kwenda kwa katibu wa Bunge baada ya kesi kufunguliwa.
Sawa, lakini pia katibu wa Bunge alikiri kupokea nakala ya barua aliyoandikiwa katibu mkuu wa CCM na Ndugai. Aidha katibu mkuu wa CCM alimwandikia barua katibu wa Bunge kuhusu kujiuzulu kwa Ndugai!
Huoni kuwa kuna barua ya kificho iliyoandikwa na Ndugai kwenda kwa katibu wa Bunge baada ya kesi kufunguliwa.
Hiyo barua ilifichwa wapi? Tulioonyeshwa ni barua kutoka kwa Ndugai kwenda kwa katibu mkuu wa CCM nakala kwa katibu wa Bunge!
Sina sababu ya kuiweka hapa wakati katibu wa Bunge alikiri kupokea nakala ya barua aliyoandikiwa katibu mkuu wa CCM na pia barua kutoka kwa katibu mkuu wa CCM.Kama kuna barua nyingine, iweke hapa na sisi tuione. Tuliyoona wengine (na pengine wewe pia) ni Press Release, sio barua!
π π ππ€£πππππππππππππΆπππ€¨ππ
Bunge butu kabisa. Kilichotokea ni βcoupβ BungeniKilichotokea sasa ni kuwa bunge limefuta taarifa zote kwa umma zilizokuwa katika tovuti yake parliament.go.tz zikionesha taarifa ya umma kutoka kwa Ndugai na taarifa kwa umma kutoka kwa Katibu wa Bunge zote zikionesha kuwa kilichowasilishwa bungeni ni nakala. Kwa sasa tovuti ya bunge ina barua ya kuwaita wabunge tu ila zile taarifa kwa umma wamezifuta. Pia kwenye ukurasa wao wa twitter wamefuta tweets hizo zilizokua na taarifa kwa umma.π€£π€£