Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la Freeman Mbowe na wenzake, kesi kuendelea ikipangiwa Jaji mwingine

Mwamba ni mwepesi kama pamba
Yeye anaetumia vikao kujenga chama chake na nyinyi mnaotumia policcm na kila aina ya vyombo vya dola kuwanyamazisha na kiwafungulia kesi za uongo Nani mwepesi?

Kwasababu nyinyi bila ya hivyo vyombo ham na uwezo wa kushindana na huyo unaemuona ni mwepesi.

Makongamano mnaweka lakni wakiweka wao tayar mnaagiza wale mbwa wenu wa washughulikie sasa kama ukidume na kujimudu uweke uwanja uwe sawa uangalie utakavyo tomb*wa.
 
Wewe una akili mbovu sana, akina Hitler wamewafanyia watu unyama karibia miaka 80 imepita lakini bado wanasemwa hadi leo sasa Magufuli ni nani.

Huwezi ukatesa na kuua watu kisha ufe halafu punguani wengine ndio waje kudai eti usisemwe, kivipi hilo halipo na acheni unafiki bwana.

Hao aliowanyanyasa kwani hawakuwa binadamu. Acheni kushangilia wakati mtu mmoja anakandamiza haki za wengine mkafikiri atadumu milele kisa tu mnanufaika na kuwa kwake hapo kwa wakati huo elewa kwamba kuna kesho pia.
 
Unaonekana wewe ni mtupu kabisa katika masuala ya sheria.

Ni hoja moja tu ndiyo mahakama imekataa, mengine imekubali kwa 100%, na mengine kwa 50%.
 
Ma CCM yatajuta hii kesi ilikuwa miss-calculation sasa hivi yanashimdwa yaiteme VIP hii kesi.
Ndugu yangu kwa kauli Hii ni wazi hujui Sheria, siasa, propaganda na mazingira ya kidiplomasia ya nchi yetu
 
Halafu ikawaje?
Jaji amekubali baadhi ya hoja. Hoja pekee aliyoikataa ni ya kufuta mashtaka. Badala yake amewataka mawakili wa Serikali kurekebisha hati ya mashtaka, ambao kwa kweli, kwa wanaojua sheria, ni uamuzi wa kijinga. Siku zote kwa taratibu za mahakama, ukifanya kosa kwenye hati ya mashtaka, na makosa hayo yakawa ni ya msingi, kesi inafutwa. Ukitaka unaweza kufungua kesi upya. Hiyo ndiyo sababu ya washtakiwa, kutoridhika, na kumtaka Jaji ajitoe. Jaji ameridhia kujitoa.
 
Kwa kuongezea na MAGAIDI kwao ni humo humo kwenye Chama Cha Magaidi!
 
Acha karma imtafune Mbowe.
 
Una maanisha kaka yake Mbowe?
Yule mwovu, yule katili, yule muuaji, yule mwenye biopolar disorder, yule aliyekuwa anajiita mwendawazimu, yule aliyeyejiita jiwe, yule aliyekuwa hajui kiingereza, yule mwenye Phd feki.... I mean yule aliyekuwa amekuweka kinyumba na kukupa u-DC wa Kisarawe.
 
CCM maji ya shingo...!! Na bado mtahaha sana katiba mtaitoa tu mtake msitake.

Hata kuandika hati ya mashitaka hamuwezi - watu nyie mnatia aibu taifa letu...haya rudieni kuandika haraka mrudi tuwapige tena.
 
Mungu hajawahi kushindwa na shetani au siyo Erythrocyte
 
Acha karma imtafune Mbowe.
Karma kitu gani wakati ni kesi zile zile za ccm za kubumba dhidi ya wapinzani sasa subiri mje muone impact yake kwa uchumi wa nchi huoni hata sasa tozo zimezidi.

Hii serikali haiwezi kuendesha nchi kwa hizi fedha za tozo na kwa kesi hizi za kijinga hakuna bakuli la hii serikali itakayo dondoshewa kitu na kama ni kuumia tunaumia sote hakuna cha ccm wala wapinzani.
 
Ok mkwe wa Mbowe! nimekupata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…