Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la Freeman Mbowe na wenzake, kesi kuendelea ikipangiwa Jaji mwingine

Ma CCM yatajuta hii kesi ilikuwa miss-calculation sasa hivi yanashimdwa yaiteme VIP hii kesi
Huyo mwanasheria wenu alishagundua kuwa nyie ni.mazuzu wa kudanganya tu ndo maana anawaburuza huku muda unaenda na mwenyekiti wenu anazidi kusota ili mumlipe pesa nyingi

Hakuna msomi wa sheria hapo
 
Baada ya "aggrieved party" kuonyesha mapungufu ya charge sheet, ni nani mwenye jukumu la kurekebisha mapungufu hayo? Huyo mwenye hilo jukumu anasubiri hadi mahakama imueleze akafanye marekebisho? Hawezi yeye kuiomba mahakama kufanya marekebisho hayo baada ya kuelezwa makosa na kujua kweli ni makosa?
Ninavyoweza kusema ni hivi: pande mbili kwenye kesi (upande wa mashtaka na utetezi) kila moja unaweza kuwa na fasili tofauti ya kifungu au vifungu vya sheria vilivyotumika. Kwa mfano, ukisoma kwenye Sheria ya Kuzuia Ugaidi [kifungu cha 34(1)] mahakama inayotajwa kuwa na mamlaka ya kusikiliza kesi ya ugaidi ni Mahakama Kuu na ndivyo mawakili wa upande wa utetezi walivyomwomba jaji anayesikiliza kesi hii azingatie. Lakini mawakili wa upande wa mashtaka wakaona mahakama inayostahili isikilize kesi hiyo ni Divisioni ya Mahakama Kuu inayohusika na makosa ya uhujumu uchumi. Jaji akakubaliana na upande wa mashtaka na kutupilia mbali pingamizi ililokuwa limewekwa na upande wa utetezi. Kwenye pingamizi la pili, mawakili wa upande wa utetezi walionyesha pia kasoro zilizopo kwenye charge sheet (kwa maana kwamba kama kosa linaeleweka ni lipi inakuwa rahisi pia kwa upande wa utetezi kuona namna gani wawasilishe hoja za utetezi), lakini hata kwa hili mawakili wa upande wa mashtaka waliona ni sawa tu hakuna shida yoyote na kumwomba jaji atupilie mbali pingamizi la pili na jaji pia baada ya kuona hivyo alikubaliana na upande wa mashtaka. Katika muktadha huu ni jukumu la mshtakiwa kuona kama kuna mwelekeo wa kutendewa haki katika mwendendo mzima wa kesi yake, kuanzia mwanzo au la.
 
Wewe kula kulala haya ya kiumeni tuachie wanaume wenyewe. Unafananisha wale vibaka wa kizulu kama wangekuwa wanaume si wangekwenda kumchomoa jela wanaisha kupiga watu ngeta mitaani.
Wanaume wanajificha nyuma ya keyboard na kupiga mikwara mbuzi?

Mmebaki kumsifia Hamza,. Hamza alijitoa kiume, hakujificha nyuma ya keyboard na kuanza kutoa mikwara mbuzi kama mfanyavyo nyie.
 
Ninavyoweza kusema ni hivi: pande mbili kwenye kesi (upande wa mashtaka na utetezi) kila moja unaweza kuwa na fasili tofauti ya kifungu au vifungu vya sheria vilivyotumika. Kwa mfano, ukisoma kwenye Sheria ya Kuzuia Ugaidi [kifungu cha 34(1)] mahakama inayotajwa kuwa na mamlaka ya kusikiliza kesi ya ugaidi ni Mahakama Kuu na ndivyo mawakili wa upande wa utetezi walivyomwomba jaji anayesikiliza kesi hii azingatie. Lakini mawakili wa upande wa mashtaka wakaona mahakama inayostahili isikilize kesi hiyo ni Divisioni ya Mahakama Kuu inayohusika na makosa ya uhujumu uchumi. Jaji akakubaliana na upande wa mashtaka na kutupilia mbali pingamizi ililokuwa limewekwa na upande wa utetezi. Kwenye pingamizi la pili, mawakili wa upande wa utetezi walionyesha pia kasoro zilizopo kwenye charge sheet (kwa maana kwamba kama kosa linaeleweka ni lipi inakuwa rahisi pia kwa upande wa utetezi kuona namna gani wawasilishe hoja za utetezi), lakini hata kwa hili mawakili wa upande wa mashtaka waliona ni sawa tu hakuna shida yoyote na kumwomba jaji atupilie mbali pingamizi la pili na jaji pia baada ya kuona hivyo alikubaliana na upande wa mashtaka. Katika muktadha huu ni jukumu la mshtakiwa kuona kama kuna mwelekeo wa kutendewa haki katika mwendendo mzima wa kesi yake, kuanzia mwanzo au la.

Ni wazi Jaji alikuwa na maelekezo toka juu,alijua kwa hakika akikubaliana na upande wa utetezi kesi inakwenda kuanguka kifo cha Mende.

Kwakuwa Jaji tangu mwanzo kaonyesha upendeleo uliopitiliza nadhani ifike mahali suala la Katiba mpya kuwa ajenda kuu sasa.Ikiwa Mahakama hali ni hii,Bunge nako hali tete mwarobaini wa kuondoa au kupunguza uharibifu wa chombo hiki ni Katiba Mpya.
 
Vitabu vitakatifu vya dini pamoja na mila zetu vinazuia kumnanga, kumtusi na kumsemea uongo marehemu. Hii inazuia kwa sababu marehemu hawezi kujitetea. Hivyo kumsemea uongo na kumtusi ni dhambi mbaya sana.

Mbowe akijua hilo bado alizunguka Tanzania nzima kumtusi JPM na kumsemea uongo wa waziwazi, mambo ambayo hakuweza kusema JPM akiwa mzima. Karma ya kosa hili haitamwacha salama Mbowe. Hakika imeanza kumtafuna na itaendelea kumtafuna yeye na familia yake.

Akiwa mjanja aombe msamaha kwa umma kwa yote ya uongo aliyomsemea JPM. Kukataa jaji hakutamsaidia. Ndiyo kwanza anazidi kuchochea moto. Wewe ni mkosaji unachagua polisi wa kukukamata?

Tujifunzeni kuwa waungwana hasa kwa ndugu zetu marehemu ambao wametangulia mbele ya haki. Tuache maneno ya kebehi na mizaa kwako. Hiyo ndiyo safari yetu wote. Tunaishi tu kwa neema ya Mungu lakini hakuna mwanadamu aliyekamilika.
 
Vitabu vitakatifu vya dini pamoja na mila zetu vinazuia kumnanga, kumtusi na kumsemea uongo marehemu. Hii inazuia kwa sababu marehemu hawezi kujitetea. Hivyo kumsemea uongo na kumtusi ni dhambi mbya sana.

Yapo mambo bora kunyamaza. End.
 
1.Serikali ndivyo ilivyoshtaki.
2.Jaji kakubali mashtaka ya serikali yana kasoro
3.Jaji anaelekeza namna nzuri ya serikali kumshtaki Mbowe
4.Kwa hiyo
a) Jaji alipaswa amwachie Mbowe.
b) Mbowe hashtakiwi na Jaji Anashtakiwa na serikali
Askofu Bagonza
 
Yaani tangu umejua kuwa kuna neno linaitwa Karma basi tunakukoma siku hizi
 
Vile mwendakuzimu amefurahia uzi wako huu kutokea huko kuzimu😁😁😁
162869316286936.jpg
 
Vitabu vitakatifu vya dini pamoja na mila zetu vinazuia kumnanga, kumtusi na kumsemea uongo marehemu. Hii inazuia kwa sababu marehemu hawezi kujitetea. Hivyo kumsemea uongo na kumtusi ni dhambi mbya sana.

Mbowe akijua hilo bado alizunguka Tanzania nzima kumtusi JPM na kumsemea uongo wa waziwazi, mambo ambayo hakuweza kusema JPM akiwa mzima. Karma ya kosa hili haitamwacha salama Mbowe. Hakika imeanza kumtafuna na itaendelea kumtafuna yeye na familia yake.

Akiwa mjanja aombe msamaha kwa umma kwa yote ya uongo aliyomsemea JPM. Kukataa jaji hakutamsaidia. Ndiyo kwanza anazidi kuchochea moto. Wewe ni mkosaji unachagua polisi wa kukukamata?

Tujifunzeni kuwa waungwana hasa kwa ndugu zetu marehemu ambao wametangulia mbele ya haki. Tuache maneno ya kebehi na mizaa kwako. Hiyo ndiyo safari yetu wote. Tunaishi tu kwa neema ya Mungu lakini hakuna mwanadamu aliyekamilika.
Acha kuvuta bangi haikufai.Endelea na ugoro kwa gongo.
 
1.Serikali ndivyo ilivyoshtaki.
2.Jaji kakubali mashtaka ya serikali yana kasoro
3.Jaji anaelekeza namna nzuri ya serikali kumshtaki Mbowe
4.Kwa hiyo
a) Jaji alipaswa amwachie Mbowe.
b) Mbowe hashtakiwi na Jaji Anashtakiwa na serikali
Askofu Bagonza
SASA mwandishi mbona umekurupukasana

AU NI DERIKALI? ndiyo kitu gani hiki halafu unahukumu wewe eti aachiwe wewe ndiyo jaji?​

Ndio kina jaji Gabriel Rwakibarila hawa na Jaji Mashauri ambaye alikuwa hakimu Kisutu mwendazaje akampandisha cheo.
 
Back
Top Bottom