Mahakama Kuu yatupilia mbali pingamizi la Freeman Mbowe na wenzake, kesi kuendelea ikipangiwa Jaji mwingine

Basi na Mbowe ataachiwa.

Hakuna mahakama ya magaidi!
Hawakujua kama hatuna hiyo mahakama? Sasa nini maana ya kumpotezea muda mtu kwa kitu ambacho huna mwisho nacho??

Lakini magaidi si huwa wanauawa ili nchi na dunia iwe huru, kwa sababu hawa watu si wa kuwachekea. Ndiyo maana nchi kubwa ziliposikia Tanzania kuna gaidi limekamatwa na limefikishwa mahakanani na kwamba kuna ushahidi usioacha shaka yoyote (Notebook ya gaidi), waliwatuma mabalozi wao wakasikilize hiyo kesi mahakanani. Nadhani kama tutamuachia huyu gaidi, tutakua tumeipaka matope nchi yetu. Huyu inafaa auawe ndipo mataifa yatatuona tuko imara kupambana na magaidi.
 
Unadhani kuna mchagga anaweza kuwa gaidi?
 
hivi mawakili wa mbowe kwanini wasiachie kesi iendelee ? hivi kuichelewesha kwa mapingamizi siyo kumuumiza mtuhumiwa kweli? mawqzo yangu tu sijui sheria

Inatakiwa kila kitu kihojiwe na kuangaliwa kwa umakini wake na mpaka sasa Mawakili wa upande wa utetezi wamefanya vyema kuhoji masuala ya mwenendo mzima jinsi watuhumiwa walivyokamatwa, mashtaka yao yalivyofunguliwa, ofisi ya DPP ilivyotekeleza wajibu wake, uhalali wa vifungu vya sheria vilivyotumiwa na upande wa Jamhuri kuwakilisha kesi mbele ya mheshimiwa Jaji ili aweze kuhukumu kwa haki n.k n.k
 
Inatakiwa kila kitu kihojiwe na kuangaliwa kwa umakini wake na mpaka sasa Mawakili wa upande wa utetezi wamefanya vyema kuhoji masuala ya mwenendo mzima jinsi watuhumiwa walivyokamatwa, mashtaka yao yalivyofunguliwa, ofisi ya DPP ilivyotekeleza wajibu wake, vifungu vya sheria vilivyotumika kuwakilisha kesi mbele ya mheshimiwa Jaji ili aweze kuhukumu kwa haki.
Hii ngoma imefika patamu. Sasa mdundo wake unaruhusu watu kucheza ngoma. Muda utatoa majibu.
 
Inatakiwa kila kitu kihojiwe na kuangaliwa kwa umakini wake na mpaka sasa Mawakili wa upande wa utetezi wamefanya vyema kuhoji masuala ya mwenendo mzima jinsi watuhumiwa walivyokamatwa, mashtaka yao yalivyofunguliwa, ofisi ya DPP ilivyotekeleza wajibu wake, vifungu vya sheria vilivyotumika kuwakilisha kesi mbele ya mheshimiwa Jaji ili aweze kuhukumu kwa haki.
Upo sahihi
 
Back
Top Bottom