Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ndio maana....Hauwezi kuappeal tena na tena kwa ishu moja na kuna level ya mahakama ukitoka hapo unakua hauna pa kwenda kuappela zaidi ya kukabiliana na kesi.
Huyo mwanasheria wenu alishagundua kuwa nyie ni.mazuzu wa kudanganya tu ndo maana anawaburuza huku muda unaenda na mwenyekiti wenu anazidi kusota ili mumlipe pesa nyingiMa CCM yatajuta hii kesi ilikuwa miss-calculation sasa hivi yanashimdwa yaiteme VIP hii kesi
Ninavyoweza kusema ni hivi: pande mbili kwenye kesi (upande wa mashtaka na utetezi) kila moja unaweza kuwa na fasili tofauti ya kifungu au vifungu vya sheria vilivyotumika. Kwa mfano, ukisoma kwenye Sheria ya Kuzuia Ugaidi [kifungu cha 34(1)] mahakama inayotajwa kuwa na mamlaka ya kusikiliza kesi ya ugaidi ni Mahakama Kuu na ndivyo mawakili wa upande wa utetezi walivyomwomba jaji anayesikiliza kesi hii azingatie. Lakini mawakili wa upande wa mashtaka wakaona mahakama inayostahili isikilize kesi hiyo ni Divisioni ya Mahakama Kuu inayohusika na makosa ya uhujumu uchumi. Jaji akakubaliana na upande wa mashtaka na kutupilia mbali pingamizi ililokuwa limewekwa na upande wa utetezi. Kwenye pingamizi la pili, mawakili wa upande wa utetezi walionyesha pia kasoro zilizopo kwenye charge sheet (kwa maana kwamba kama kosa linaeleweka ni lipi inakuwa rahisi pia kwa upande wa utetezi kuona namna gani wawasilishe hoja za utetezi), lakini hata kwa hili mawakili wa upande wa mashtaka waliona ni sawa tu hakuna shida yoyote na kumwomba jaji atupilie mbali pingamizi la pili na jaji pia baada ya kuona hivyo alikubaliana na upande wa mashtaka. Katika muktadha huu ni jukumu la mshtakiwa kuona kama kuna mwelekeo wa kutendewa haki katika mwendendo mzima wa kesi yake, kuanzia mwanzo au la.Baada ya "aggrieved party" kuonyesha mapungufu ya charge sheet, ni nani mwenye jukumu la kurekebisha mapungufu hayo? Huyo mwenye hilo jukumu anasubiri hadi mahakama imueleze akafanye marekebisho? Hawezi yeye kuiomba mahakama kufanya marekebisho hayo baada ya kuelezwa makosa na kujua kweli ni makosa?
Majaji wote hawawezi kuwa bias. Wako wanaoweza kutenda haki bado. Binafsi najua Mbowe sio gaidi. Serikali inaiambia dunia kuna ugaidi na serikali hiyohiyo ina promote utalii. Ridiculous!No retreat no surrender.. Tuta appeal tena na tena..!!!
Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
Wanaume wanajificha nyuma ya keyboard na kupiga mikwara mbuzi?Wewe kula kulala haya ya kiumeni tuachie wanaume wenyewe. Unafananisha wale vibaka wa kizulu kama wangekuwa wanaume si wangekwenda kumchomoa jela wanaisha kupiga watu ngeta mitaani.
Ninavyoweza kusema ni hivi: pande mbili kwenye kesi (upande wa mashtaka na utetezi) kila moja unaweza kuwa na fasili tofauti ya kifungu au vifungu vya sheria vilivyotumika. Kwa mfano, ukisoma kwenye Sheria ya Kuzuia Ugaidi [kifungu cha 34(1)] mahakama inayotajwa kuwa na mamlaka ya kusikiliza kesi ya ugaidi ni Mahakama Kuu na ndivyo mawakili wa upande wa utetezi walivyomwomba jaji anayesikiliza kesi hii azingatie. Lakini mawakili wa upande wa mashtaka wakaona mahakama inayostahili isikilize kesi hiyo ni Divisioni ya Mahakama Kuu inayohusika na makosa ya uhujumu uchumi. Jaji akakubaliana na upande wa mashtaka na kutupilia mbali pingamizi ililokuwa limewekwa na upande wa utetezi. Kwenye pingamizi la pili, mawakili wa upande wa utetezi walionyesha pia kasoro zilizopo kwenye charge sheet (kwa maana kwamba kama kosa linaeleweka ni lipi inakuwa rahisi pia kwa upande wa utetezi kuona namna gani wawasilishe hoja za utetezi), lakini hata kwa hili mawakili wa upande wa mashtaka waliona ni sawa tu hakuna shida yoyote na kumwomba jaji atupilie mbali pingamizi la pili na jaji pia baada ya kuona hivyo alikubaliana na upande wa mashtaka. Katika muktadha huu ni jukumu la mshtakiwa kuona kama kuna mwelekeo wa kutendewa haki katika mwendendo mzima wa kesi yake, kuanzia mwanzo au la.
Itakuwa bado. 😀 😀 😀 😀 😀 😀Posho haijatoka?
Yapo mambo bora kunyamaza. End.Vitabu vitakatifu vya dini pamoja na mila zetu vinazuia kumnanga, kumtusi na kumsemea uongo marehemu. Hii inazuia kwa sababu marehemu hawezi kujitetea. Hivyo kumsemea uongo na kumtusi ni dhambi mbya sana.
Mbowe akijua hilo bado alizunguka Tanzania nzima kumtusi JPM na kumsemea uongo wa waziwazi, mambo ambayo hakuweza kusema JPM akiwa mzima. Karma ya kosa hili haitamwacha salama Mbowe. Hakika imeanza kumtafuna na itaendelea kumtafuna yeye na familia yake.
Akiwa mjanja aombe msamaha kwa umma kwa yote ya uongo aliyomsemea JPM. Kukataa jaji hakutamsaidia. Ndiyo kwanza anazidi kuchochea moto. Wewe ni mkosaji unachagua polisi wa kukukamata?
Tujifunzeni kuwa waungwana hasa kwa ndugu zetu marehemu ambao wametangulia mbele ya haki. Tuache maneno ya kebehi na mizaa kwako. Hiyo ndiyo safari yetu wote. Tunaishi tu kwa neema ya Mungu lakini hakuna mwanadamu aliyekamilika.
Yaani tangu umejua kuwa kuna neno linaitwa Karma basi tunakukoma siku hiziVitabu vitakatifu vya dini pamoja na mila zetu vinazuia kumnanga, kumtusi na kumsemea uongo marehemu. Hii inazuia kwa sababu marehemu hawezi kujitetea. Hivyo kumsemea uongo na kumtusi ni dhambi mbya sana.
Mbowe akijua hilo bado alizunguka Tanzania nzima kumtusi JPM na kumsemea uongo wa waziwazi, mambo ambayo hakuweza kusema JPM akiwa mzima. Karma ya kosa hili haitamwacha salama Mbowe. Hakika imeanza kumtafuna na itaendelea kumtafuna yeye na familia yake.
Akiwa mjanja aombe msamaha kwa umma kwa yote ya uongo aliyomsemea JPM. Kukataa jaji hakutamsaidia. Ndiyo kwanza anazidi kuchochea moto. Wewe ni mkosaji unachagua polisi wa kukukamata?
Tujifunzeni kuwa waungwana hasa kwa ndugu zetu marehemu ambao wametangulia mbele ya haki. Tuache maneno ya kebehi na mizaa kwako. Hiyo ndiyo safari yetu wote. Tunaishi tu kwa neema ya Mungu lakini hakuna mwanadamu aliyekamilika.
Acha kuvuta bangi haikufai.Endelea na ugoro kwa gongo.Vitabu vitakatifu vya dini pamoja na mila zetu vinazuia kumnanga, kumtusi na kumsemea uongo marehemu. Hii inazuia kwa sababu marehemu hawezi kujitetea. Hivyo kumsemea uongo na kumtusi ni dhambi mbya sana.
Mbowe akijua hilo bado alizunguka Tanzania nzima kumtusi JPM na kumsemea uongo wa waziwazi, mambo ambayo hakuweza kusema JPM akiwa mzima. Karma ya kosa hili haitamwacha salama Mbowe. Hakika imeanza kumtafuna na itaendelea kumtafuna yeye na familia yake.
Akiwa mjanja aombe msamaha kwa umma kwa yote ya uongo aliyomsemea JPM. Kukataa jaji hakutamsaidia. Ndiyo kwanza anazidi kuchochea moto. Wewe ni mkosaji unachagua polisi wa kukukamata?
Tujifunzeni kuwa waungwana hasa kwa ndugu zetu marehemu ambao wametangulia mbele ya haki. Tuache maneno ya kebehi na mizaa kwako. Hiyo ndiyo safari yetu wote. Tunaishi tu kwa neema ya Mungu lakini hakuna mwanadamu aliyekamilika.
SASA mwandishi mbona umekurupukasana1.Serikali ndivyo ilivyoshtaki.
2.Jaji kakubali mashtaka ya serikali yana kasoro
3.Jaji anaelekeza namna nzuri ya serikali kumshtaki Mbowe
4.Kwa hiyo
a) Jaji alipaswa amwachie Mbowe.
b) Mbowe hashtakiwi na Jaji Anashtakiwa na serikali
Askofu Bagonza