Mahakama Kuu Zanzibar yaamuru Cryprian Musiba kumlipa Fatma Karume Tzs 7.5 bilioni

Kwani atakufa lini?,mbona anachelewa chelewa au ziraili kachukua mlungula? Jiwe alitaka kumpa mlungula ziraili ila ziraili akagoma akisema saa imewadia
 
Tena hata mwaka mmoja haujaisha.
Musiba aombe Mungu amchukue mapema.
 
Sheria ya asili wote walioshiriki dhuluma lzm wavune mapando yao.
Ndizi ilianza kuozea nchani itapanda hadi shinani
 
Alisema bora afe yeye kuliko sponsa nadhani Mungu atasikia maombi yake
 
kuna yule mwingine alisema tundu lissu shoga... magufuli aliwapa jeuri sana...Mungu Ni Mwema mambo yakutekana tupa kule yakafie mbele huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…