Mahakama Kuu Zanzibar yaamuru Cryprian Musiba kumlipa Fatma Karume Tzs 7.5 bilioni

Na wale wazee nao wakiamua kukurupua Lao mahakama ya kusutu, musiba anaweza kukata roho!
 
Hivi zile bilioni 1 alilipwa na yule askari pale mahakama kuu??
 
Kesi kufunguliwa Zanzibar.
This was very smart move, case ingefunguliwa bara ingechukua mda mrefu kukamilika, Zanzibar hakuna case nyingi kama dsm/bara.

Sasa baada ya order ya payment of 7.5Billion what next.

Kwa sasa Fatma anasubiria tu copy of decree aanze ukazaji hukumu/ execution.
Zifuatazo ni baadhi ya njia za ukazaji hukumu,
Mkazaji hukumu aweza kushililia mali za judgement debtor na kuziuza kufidia deni lake.
Pia aweza kukamata account za benki.
Pia aweza iomba mahakama kumfunga judgement debtor kama mfungwa wa madai (atalazimika kumuhudumia akiwa jela)
Wibilah twaufiq
 
Kila siku watu tunawaambia sponsa hua anafariki lakini bado una kuta jitu jeuriiiii....Wanamuona MUNGU km bb yao maana alituonya amelaaniwa mtu amtegemeae mwanadam...sasa acha apambane na hali yake
 
Naweza execute hio decree kwa kumuweka ndani tu as civil prisoner otherwise musiba Ana mbupu tu
 
Keep my words
.
Hamna kitu hapo. Hiyo hukumu ili iwe na meno dawa ivuke bahari na isomwe Bara..
Shangazi ni wakili na aliwakilishwa na wakili, je hayo usemayo hawakuyajua mpaka wakafungua kesi Zanzibar? Je mahakama kuu ya Zanzibar haiyajui hayo mpaka ikatoa hukumu isiyokuwa na meno? Ni kweli kweli, siamini.
 
Shangazi ni wakili na aliwakilishwa na wakili, je hayo usemayo hawakuyajua mpaka wakafungua kesi Zanzibar? Je mahakama kuu ya Zanzibar haiyajui hayo mpaka ikatoa hukumu isiyokuwa na meno? Ni kweli kweli, siamini.
Utaamini utakapo yaona matokeo..Jiulize mkosa yuko Bara, Aliekosewa alikuwa Bara, Kosa limetendeka Bara ilikuaje shitaka lifunguliwe Kisiwani Unguja?
 
Hivi ameshaanza kulipa au bado?
 
Reactions: Lee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…